kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mfanyakazı wa ndani awanywesha mkojo mabosi wake, wamkamata

  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima. Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia. Waziri wa Afya hatujamsikia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  4. JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  5. JamiiForums Tanzania Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

    Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4
  6. JamiiForums Tanzania Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Kwema hapo wakuu mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork. Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya). Kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwa Msemaji Simba ni kazi kweli unajihami, ghafla unakumbuka huna uwezo unaanza kuomba support

    Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni.. Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili sana na uwezo wa kuzitumia unakuwa hautafuti kazi ila unatafutwa ili usaidie

    Hii huwa naisema kila siku MTU mwenye AKILI Sana na akawa anajua kuzitumia , huwa hatafuti kazi. Mfano MAX MELO muhaya serikali ilimtafuta ili awasaidie kazi Hivyo vijana self -investment ndo kila kitu , jithadi uwekeze katika wewe na banda ya hapo watu watawekeza katika wewe. Ajira umekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote

    Nina diploma ya banking and finance,natafuta kazi yoyote nipo Dar,sm namba 0615706275..niko available hata Leo.
  12. JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  15. JamiiForums Tanzania OCD Bunda fuatilia utendaji kazi wa baadhi ya mgambo wanaokusaidia kazi wengi wanashirikiana na vibaka

    Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake! Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  17. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi.

    Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona. Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection ya kazi

    Naombeni connection ya kazi VIWANDANI nipo Dar, Hotel,Dukani, Kufanya usafi,n.k
  19. JamiiForums Tanzania Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua mazingira ya kazi za security OMAN na DUBAI

    Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…