kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

    Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu nachukia kufanya kazi labda ni sababu ni wilaya niliyokuwepo. Nilikuwa kwenye shirika x mkoa x baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
  3. JamiiForums Tanzania Various Posts at CBE March, 2024

    he College of Business Education was established by the College of Business Education Act CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of Accountancy, Procurement and Supplies Management...
  4. JamiiForums Tanzania Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani. Lakini pamoja na yote...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mpesa haifanyi kazi??

    Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ushawishi wa Rais Samia imeongezeka maradufu mpaka inatishia uwepo wa upinzani na kutamani asigombee

    Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije ikatokea watu wakapotoshwa na upotoshaji ukageuka ukweli, Kwa hiyo mada hii inabaki kuwa kumbukumbu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

    Tayari
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa Chuo cha CATC wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

    Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi. Nasaha hizo zimetolewa Machi 08, 2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC, Aristid Kanje wakati wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani. Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu...
  14. JamiiForums Tanzania Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  15. JamiiForums Tanzania Je hii mouse itaweza kufanya kazi kwenye laptop yangu

    Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
  16. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ajira yoyote

    Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA. Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

    Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…