kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi na makazi

    Ni tumaini langu wote wazima. Naandika uzi huu kwa ombi la msaada. Kwa kweli, mambo yameniendea ovyo, nikiwa jijini Dar es Salaam. Kazi ilisimama, katika kusaka nyingine, kodi ya nyumba ikaisha nikiwa sina kitu. Hapo nyuma, familia nayo inanitegemea kwa kila kitu. Kiukweli, ukilinganisha...
  2. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

    Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti. Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi maabara

    Habari! Habari za mchana ndugu zangu, anahitajika mtaalamu was maabara ngazi ya Cheti jinsi Ke, Mshahara maelewano. Call: 0768396747 Ahsanteni.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, civil engineer

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi Community Development

    Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana. Elimu yangu: Shahada ya Uhasibu Ujuzi: Microsoft office Excel Computer Kazi nazo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Graduate Engineers 2 na Driver 1

    Wakuu kuna nafasi za kazi . Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia mwaka 1979 hadi 1988. Tupeane mawasiliano DM.
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?

    Introduction Haya matokeo ya Mpira yameniuma balaa. Liverpool kapigwa. Yanga holaaaaa. Tuachane na hilo, turudi kwenye mada. Scenario Ngoja niongee kwa mifano halisi ili uweze kunielewa. Mimi kwa mwaka huu tu nimepata kazi nyingi sanaa za field ila jana niliangalia account nakuta kuna 500k na...
  11. JamiiForums Tanzania UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Salaam, Shalom. Ili pawe na Amani, huna budi kuwatisha waovu, KAZI hii ya kuhakikisha waovu hawachezei Sharubu za Serikali, Mungu alimsaidia Hayati Magufuli kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha. Maeneo yafuatayo, alidhibiti kwelikweli; 1. MTANDAO WA WIZI WA PESA ZA UMMA Tumesikia Rais Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie

    Habari za wakati huu wakubwa. Samahani, mimi ni kijana umri miaka 26. Nina Bachelor Degree ya Ualimu. Ninapatikana Morogoro kwa sasa. Naamini mbali na kushare taarifa mbalimbali pia tunaweza kusaidiana
  18. JamiiForums Tanzania Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga...
  19. JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator bado jaman anaeweza naomba msaada nipate mtu wa kushinda nae kwenye excavator npate ujuz wa kazi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…