kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  2. JamiiForums Tanzania TANROADS inaendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano Barabara ya Somanga

    Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
  3. JamiiForums Tanzania Sijaelewa TANAPA kuweka kikomo cha umri kwenye nafasi zao za kazi

    Jana Tanapa wametoa nafasi za kazi lakini ambacho mimi mmeshangaa. Kuna limited age. Mwenye diploma usizidi 25year na Mwenye Degree asizidi 30years. Au baada ya kigezo Cha JKT kutolewa Kwa Sasa Kuna limited age au kwenye miongozo Yao ya kazi ipo ipo Kwa upande wao. Serikali iliangalie hili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza liquor store

    Habari za leo. Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili. Nichek PM
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu. Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM. Niko juu ya mawe...
  6. JamiiForums Tanzania Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Kwa sasa nimejikita kama...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Aagiza Wahandisi Washauri Wanaoshindwa Kusimamia Makandarasi Kutopewa Kazi

    WAZIRI BASHUNGWA AAGIZA WAHANDISI WASHAURI WANAOSHINDWA KUSIMAMIA MAKANDARASI KUTOPEWA KAZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kutowapatia kazi za usimamizi wa miradi Wahandisi Washauri wanaoshindwa kuwasimamia Wakandarasi kutekeleza miradi ya ujenzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  9. K

    JamiiForums Tanzania DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tumeachishwa kazi kihuni na Global Publishers, wanataka kutudhulumu haki zetu, tufanye nini?

    Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho. Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri, nifanye nini au tufanye nini sisi wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers inayomilikiwa na Mbunge wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania NSSF kwa kutoa 33% ya mshahara wa mwezi mtu anapokuwa hana kazi ni kutaka mtu aendelee kuajiriwa mpaka baada ya miaka 55

    NSSF na Serikali hawaongei lugha moja. Serikali inataka watu wajiajiri lakini NSSF inataka watu waendelee kuajiriwa mpaka wakifika miaka 55. Kwa mtazamo wangu mtu alitakiwa apewe 30% ya michango yake kama kiinua mgongo kimuwezesha kujishughulisha mwenyewe bila kutegemea tena ajira wakati bado...
  13. JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  14. JamiiForums Tanzania Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

    Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa. Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama...
  15. JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuanzisha Non-Profit Organization

    Habarini wakuu na poleni kwa majukumu. Naomba kwa walio na uzoefu wa kuanzisha NGO,s kama hizi non-profit organization masuala ya wanawake, watoto, vijana na vikundi ili kuleta impact kwa jamii upande wa uchumi na kuleta fursa ya kazi
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA) inabagua baadhi ya shahada wakati wa kuajiri

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa elimu ya juu. Bachelor of commerce in banking and finance. Swali langu kwa TRA ni kwamba kwanini watu waliosoma finance wanaruhusiwa kuomba kazi TRA na watu waliosoma Banking and finance wanakataliwa? Watambue kwamba watu wa banking and finance ni lazima wasome...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kumzuia mkewe asifanye kazi

    Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…