kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni aina ya utapeli au ni watu wamekosa kazi ya kufanya na wanaofanya haya wanataka nini? Labda kutaka kukukomoa sijui!

    Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda...
  3. JamiiForums Tanzania Jiji la Lusaka, Zambia kukumbwa na Mgawo mkubwa wa Umeme kuanzia Aprili 1, 2024

    Kampuni ya ZESCO Limited inatarajiwa kuanzisha ratiba mpya ya kukata umeme kwa maeneo ya makazi huko Lusaka licha ya uwepo wa wasiwasi kutoka kwa wadau kuhusu mpango huo wa kukata umeme wa masaa 8 kila siku. Msemaji wa kampuni hiyo, Matongo Maumbi, anasema mpango wa kukata umeme, ulioanza...
  4. JamiiForums Tanzania Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

    Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

     Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya -Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc. -Sticker(Car)...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Azizi Ki tukitolewa kazi unayo, tafuta chimbo la kujificha kabisa!!

    Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga goli la video.....mnaita sijui 'payenka' wenyewe. Inakera sana kwani tungekuwa mbele kwa goli moja saa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

    https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
  10. JamiiForums Tanzania Harufu ya upigaji; Document ya kitapeli inayo chafua jina la Lake Oil Company kwa utapeli wa nafasi za kazi yasambaa mtandaoni.

    Halafu bado kuna watu watakuja kusema wamepigwa. Document yenyewe ni hii niliyo iambatanisha hapa
  11. JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini screen za matangazo uwanja wa Mkapa hazifanyi kazi?

    Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, taa n.k Lakini mbona bado quality yake haifiki level ya viwanja vingine vikubwa tunavyoviona...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

    Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli. Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba connection ya kazi

    Jaman wana JF mwenye connection ya kazi naomba kuunganishwa tafadhari, nimejaribu kuomba kazi viwanda kadhaa hapa mbeya lakini hakuna mafanikio yoyote, kama kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana 🙏
  15. JamiiForums Tanzania Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

    Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja, sidhani kama ni sawa. Unaweza ukasema ni wao sababu hawajiwekei mipaka lakini issue inaanzia kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji TVS Apache 1604v 2020 Brown inauzwa 3.2million kazi kwenu.kwa mawasiliano piga 0695022051

    Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
  18. JamiiForums Tanzania Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

    Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani? Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao. Wengine wanaishia kuwa na misongo ya mawazo, kushinda bar, kuchanganikiwa na kujiongelesha wenyewe wenyewe; inayopelekea...
  20. JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…