kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Kauli za David Kafulila ni kama hadithi kwa Wananchi wa kawaida

    Wakuu, Kuna jambo ambalo limekuwa likileta tafakuri nyingi kuhusu baadhi ya kauli za kiuchumi zinazotolewa na David Kafulila. Baadhi ya kauli hizo ambazo zinzweza kuzua mijadala ni kama zifuatazo 1. DIRA 2050 – Uchumi wa dola trilioni moja. Kafulila amekuwa akihamasisha kwamba Tanzania...
  2. Crocodiletooth

    Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    ""Hukumuni kile mlichopangiwa muhukumu"" ---------------- Hii ndiyo kauli aliyoitamka pale mahakamani je,kauli hii haikuwa ni fedhea kwa mahakama zetu na vyombo vya haki? Msaada wa kisheria tafadhali Wakili msomi pascal mayalla Tusaidie juu ya hili,(Baba wakili msomi)
  3. F

    Kauli ya Kihongosi dhidi ya Heche ni uchochezi au ndio siasa zenyewe?

    Ni Ile ya kudai kuwa "Lissu aliandika barua kuomba maridhiano fake ,barua ilipomfikia Heche akaichana". Kwa maoni yako huu ni uchochezi kuleta chuki ndani ya jamii au ndio uhuru wa kutoa maoni?
  4. instinct desire

    Tunaipongeza judiciary kiukweli kauli za Lissu zilisababisha majeraha makubwa sana kwa Watanzania

    Lissu ndiye aliyesababisha watu wakapata madhara makubwa sana, kauli za lissu zilikuwa ni kauli za kishetani sana. Viongozi wa chadema walikuwa wanatoa kauli za hovyo sana zilizo athiri ustawi wa Taifa letu, siku nyingne Tunaomba adhabu iwe kubwa zaidi.
  5. Jaji Mfawidhi

    Makonda na kauli kuhusu Ufisadi na Ujenzi Uwanja wa "Meru Stadium"

    Kwa kifupi , Meru Stadium ndio utakuwa uwanja bora kabisa na Makonda hakuna kitu ampiga na wabunge wanao hoji wapewe semina elekezi namna fedha zimetumika na zinatumika. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametoa ufafanuzi mzito bungeni jijini Dodoma kuhusu...
  6. Sifi Leo

    Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  7. Yoda

    Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

    Hii Ni kauli ya hovyo, ya kijinga, ya kipumbavu na kifedhuli zaidi katika mwaka huu iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi nchini.
  8. Frank Wanjiru

    UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Pwani, Samaha Seif Said, amekemea vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akidai kuwa imewadhalilisha na kuwakatisha tamaa vijana wanaojitolea bila kuchoka...
  9. instinct desire

    Hatutambui Ubunge wa wale wabunge 19 lakini Ruzuku hatuachi. Hii ni kauli ya Lissu, tunaposema chadema ni makanjanja muwe mnaelewa.

    Pia Lissu aliongeza kwa kusema hatambui ubunge wa Aidan khenan lakini Ruzuku tutachukua hii nini hii watz wenzangu hivi mnaelewa kweli 😭.....hebu jiulize walichukua ruzuku kwa sifa zipi ili hali wanazikana sifa zinazowapa ruzuku, kama siyo UTAPELI na WIZI, Watanzania chadema ni kikundi cha...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Kifo ni kifo tu, kauli iliyoligawa taifa. WanaCCM wakifa nashauri msiwahukumu kwa makosa ya Samia.

    WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇
  11. Mad Max

    Oya nimefuta Kauli, Nimekuja Bliss Bar & Grill Tabora, kha, Hadi nyama Foil zipo kama Sinza tu! Nikipotea Me dereva wa Halmashauri jamani!

    Mtajuana wenyewe, ila hapa siondoki
  12. Kaka yake shetani

    Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
  13. peno hasegawa

    Kwa Kauli hii! Kama KATIBA ya JMT ,ipo na inaheshimika,"CCM ombe watanzania Radhi!"

    Ikishindikana,Chacha afukuzwe kazi!
  14. Zack Abdul

    Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  15. Q

    Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  16. Parabolic

    Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  17. Q

    John Heche: Kauli ya Chacha imeithibitishia dunia tuliyokuwa tukisema. CHADEMA kitatoa tamko rasmi

    Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote. Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha. Vyombo vya ulinzi...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kauli mbalimbali za kujifariji, kujikubali na kuringa na kitambi chako

    Kitambi sio laana, ni baraka Kitambi kiheshimiwe na watu wote. Kitambi hakiumi Kitambi si mzigo
  19. K

    Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  20. Traxtion

    Kauli chafu zilizokuwa normalized Jamii Forums ambazo ni adui mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania

    Sio mara moja sio mara mbili watu wakileta changamoto zinazowakumba Watanzania humu kumekuwa na kauli chafu kutoka kwa baadhi ya wanaJF ambao nao ni Watanzania/Waafrika pia Mfano, ukileta tatizo linalokumba jamii za Watanzania utakuta mtu anacomment "Waafrika ni nyani waliochangamka" Kuna siku...
Back
Top Bottom