katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  2. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION

    🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote. 🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥 Tuwaunge mkono...
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, ninunue pikipiki au nifungue library ya kuingiza movie katika flash? (nina Tsh. milioni 1. 2)

    Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2? Asanteni.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti; Katika Kila watanzania 10, 8 Wana u-CCM vichwani mwao!

    Ushahidi: 1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM. 2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito. 1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  10. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  11. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotamani kuwekeza katika Appartments piteni hapa

    2 bedrooms, sebule, jiko each unit (JENGP LINA UNITS 2) Plot size ya 600SQM zinaingia units 5. CALL US TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM +255624004650
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Vipindi na Watangazaji Bora katika TV kwa Miaka ya nyuma

  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri Kombo akutana na Waziri wa Ulinzi Dkt Tax

    Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

    Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ina...
  16. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  17. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini. Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
  18. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa na la makusudi kabisa katika hili.

    Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura. Wanahamasisha watu wapige kura. Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura. Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa. Hawa...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Katika hii picha umelewa nini

    Karibuni wakuu kufumbua hili fumbo zito.
  20. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Wajenzi makini katika kazi zetu

    Design and build Mapwepande now we are working on landscape Kupata huduma zetu +255624004650
Back
Top Bottom