Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu.
Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule.
Muda utaongea.
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote
Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
12 January 2026
Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong
Januari 12, 2026
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee.
Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo.
Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana.
Kujua ufaulu wa mtu hauishii kama mambo binafsi. Ni jambo la usalama wa taifa.
Hebu fikiria kwa kipindi ambacho...
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.
Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
Magaidi wanavyotumia historia ya Ukhalifa
Magaidi kama ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram wanadai:
“Tunarejesha Ukhalifa ulioporomoshwa”
Historia ya 1258 na 1924 inatumika kama:
Motisha ya kihistoria: wanasema “Dola ya Kiislamu imeanguka, dunia inahitaji Waislamu wa kweli kurudisha heshima”
Kifaa...
Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M.
Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka.
1. Kwa nini ukatili wa kidini...
Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema.
Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM
2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
Ni kuuliza tu si kwa ubaya.
Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu.
Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini.
Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi...