katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri Wa Elimu Akieleza Mikakati Ya Serikali Kuhusu Teknolojia Ya AI Katika Elimu

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu. Naibu Waziri ameeleza...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Posters za mitindo ya nywele katika saluni miaka ya 2000

    Katika miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, kulikuwa na ladha ya kipekee sana katika maisha ya kila siku—hasa pale tunapozungumzia suala la kunyoa nywele. Enzi hizo hazikujali sana mitindo mingi kama ilivyo leo. Mtindo maarufu ulikuwa mmoja tu: kipara safi. Dakika chache tu, kinyozi anakuwa...
  3. Pakome

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utolewe Ufafanuzi Juu ya Mfumo wa Utoaji Alama katika Mitihani ya Mtandaoni

    Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika. Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye jumla ya maswali 50 unatoa alama kama 93 au 75. Kimantiki, ikiwa mtihani una maswali 50, tunatarajia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yupi ni ripota wako bora hapa kwetu unaemkubali katika vita zinazozungumziwa zaidi duniani?

  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  8. Digital base

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  10. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

    Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko...
  16. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Advanced Excel katika uchambuzi wa taarifa ofisini

    Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo. Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  19. Marcy

    JamiiForums Tanzania Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiomba likizo ya Mwaka katika baadhi ya Ofisi zetu za Umma unaonekana kama msaliti au uzembe

    Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo cha kuwasilisha fomu ya kuomba likizo kimekuwa kama chanzo cha unyonge mahali pa kazi. Badala ya...
Back
Top Bottom