katiba

  1. Historia ya mapendekezo ya Katiba ya Gavana Edward Twining 1950 (Sehemu ya Kwanza)

    HISTORIA YA MAPENDEKEZO YA KATIBA YA GAVANA EDWARD FRANCIS TWINING 1950 (SEHEMU YA KWANZA) Juma Mwapachu mtoto wa Hamza Mwapachu miaka mingi nyuma katika mazungumzo wakati natafiti historia ya TANU aliniambia kuwa katika vitu vyote ambavyo baba yake alikuwa akijivunia katika maisha yake ya...
  2. R

    SoC01 Demokrasia kama Msingi wa Maendeleo

    DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia na haki ya kijamii na kwahiyo;(a)...
  3. W

    Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Ndugu zangu, Siku zinaenda kasi sana === VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA. Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake...
  4. Bunge, Katiba, Madaraka

    Wasalaam Bunge Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio kama siyo kichekesho!!..hakuna sheria wanazotunga kwaajili ya serikali na wananchi na siyo...
  5. R

    Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  6. Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  7. Ipo haja ya bunge letu lijalo kutupia macho kipengele ndani ya katiba kinachoruhusu mikutano ya vyama kufanyika hovyo hovyo.

    Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
  8. Dai la katiba mpya linaweza kuwa ni ugaidi kwa maana hii

    Nimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda, na hatimaye kifo. Hivo basi kudai katiba mpya kunako fanywa na wanaharakati na vyama pinzani ni...
  9. P

    Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
  10. Kwani kudai Katiba mpya kuna dhambi gani?

    Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi kufikia kukamata viongozi wote wa chama kimoja kilichotajwa kufanya mjadala huo? Hivi ni kweli CCM...
  11. J

    Maana ya Katiba ya Kidemokrasia

    Katiba ni waraka wa kisiasa na kisheria wenye muafaka wa kitaifa juu ya namna ya kuendesha masuala ya nchi. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa wa kuchagua na kubadilisha serikali kwa njia ya uchaguzi ulio huru na wa haki. Ni Ushirikishwaji wa kweli wa wananchi katika maisha ya kiuchumi, kisiasa na...
  12. B

    Mdahalo Kudai Katiba Mpya unapogeuzwa Ugaidi

    Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku? Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki. Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka...
  13. Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  14. CCM tuseme wazi kuwa tunaogopa katiba mpya, tuche visingizio vya kujenga uchumi kwanza

    Hii habari ya kusema eti kipaumbele ni kujenga uchumi kwanza wakati Magufuli pia alisema hivyo hivyo matokeo yake miaka mitano ikapita hajafanya lolote. Tusiwadanganye wananchi na wala tusitafute huruma yao, ni uchu wetu wa madaraka tu hakuna kiingine. Mnahisi na mnaufahamu udhaifu wa chama...
  15. Mpaka bobby walikuwepo kuzuia katiba mpya jana mjini Mwanza

  16. J

    Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

    Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  17. Q

    Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

    Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
  18. S

    Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani ambaye atapinga au kuzuia Katiba ya nchi kuboreshwa, kwa sababu huwezi ukaboresha Katiba ikawa mbaya zaidi

    Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani. Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa Katiba ya nchi. Mtu anaefanya hivyo ni mwendawazimu, au hajui kazi ya Katiba ni nini, au utaratibu...
  19. Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  20. T

    Wanaharakati wa Katiba Mpya, jibuni hoja za Anthony Diallo

    YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema: Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini? Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…