katiba

  1. BIOTOXINS

    Kwanini watunga katiba hawakuzingatia mafundisho ya Biblia na Qurani tukufu katika kuandika katiba?

    Watunga Katiba hawakuzingatia moja kwa moja maandiko ya Biblia na Qurani Tukufu kama msingi wa Katiba, licha ya ukweli kwamba viongozi wetu wanapohutubia wananchi mara nyingi huhubiri amani, upendo, umoja, haki na mshikamano. Jambo la msingi ni kwamba misingi hii imefundishwa kwa muda mrefu...
  2. BIOTOXINS

    TISS, JWTZ na Jeshi la Polisi ni vyombo vya dola? Je, vinaweza kutumika kisiasa badala ya kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba .?

    Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa. *Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
  3. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  4. instinct desire

    Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  5. Msanii

    Hitaji la Katiba Mpya

    Kuna Watu wamejitwisha jukumu la kupinga sauti za wananchi kutaka Katiba mpya. Piga kura kuunga mkono au kupinga kusudio la kupata Katiba ya wananchi
  6. figganigga

    Katiba ya CHADEMA inawatambua Wanaharakati

    Kuna watu wanaodai CHADEMA imetekwa na Wanaharakati. Ni kwamba katiba ya CHADEMA inaeleza wazi mtu anatakiwa awe mwanaharakati wa kweli wa kudai haki. Ibara ya 10.3(iii) – Maadili ya Wanachama, katika Kanuni za CHADEMA za mwaka 2019. Kinasema: “Kuwa shupavu na mwanaharakati wa kweli katika...
  7. F

    Baba wa rafiki yangu awaandikia wanae kitabu cha mwongozo wa maisha. Ni vizuri kila ukoo ama familia iwe na katiba yake ifatwe kama biblia na quran,

    habari wadau. Rafiki yangu mmoja kanionesha kitabu walichoandikiwa na baba yao kwa ajili ya kuwapa miongozo katika mambo mbali mbali ya kimaisha. kitabu kina sura 10 ambazo zimegawanyika, mfano sura ya muongozo kuhusu elimu dunia na jinsi ya kuipata, sura kuhusu ukweli wa dini, sura kuhusu...
  8. instinct desire

    Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  9. C

    Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, Toleo la 2019; Lema ametenda kosa (makosa) ya kinidhamu

    Tuanze kwa kuangalia MAKOSA YA KINIDHAMU kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA (2019). Katiba ya CHADEMA inayoshughulikia nidhamu ni "SURA YA TANO, IBARA YA 7 na IBARA YA 8." IBARA YA 7: NIDHAMU YA WANACHAMA 7.1 - Kila mwanachama ana wajibu wa: (a) Kuitii na kuheshimu Katiba ya CHADEMA. (b)...
  10. Roving Journalist

    Arusha Wapata Elimu kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
  11. Keynez

    Mgogoro wa Simba SC unatumika kupumbaza Watanzania waone kudai Katiba ya JMT kutaleta vurugu na mifarakano

    MODS muuache huu uzi kwenye jukwaa la siasa, msiupeleke jukwaa lingine lolote maana hoja hii ni ya kisiasa. Nimewahi kusema sana kwamba mpira wa Tanzania unatumika kama project za propaganda au kuwaandaa kisaikolojia watanzania kwa matukio ya kisiasa. Ni jambo ambalo nimelifuatilia na...
  12. F

    Katiba ya nchi yetu inaruhusu kiongozi wa dini kuongoza maandamano kama alivyofanya Desmund Tutu na Martin Luther?

    Nimeuliza swali, Majibu yawe mafupi yakiambatana na kifungu ndani ya katiba, tafadhali Karibuni.
  13. K

    Bila katiba tumeliwa na mafisadi

    Machawa shangilieni sasa lakini hamjui kesho yenu! Ni bora sana mngepigania uhuru maana uhuru utawakikishia kesho yenu. Mwangalieni mwenzenu Nchimbi na Polepole wapo wapi leo. Je wewe wanakuthamini kuliko wao?? Jiulize
  14. Q

    Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani. Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema...
  15. Deus Jovin

    Mnyika na Mgomo wa Kitaifa Kulinda Katiba: Mwaliko wa Kisiasa Kutaka Marekebisho ya Mikakati ya Kiusalama Inayotekelezwa na DPP, DCI na DGIS

    Ndugu Raia wa Taifa la JF, Hujambo? Leo tarehe 24 Oktoba 2026, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki migomo kwa lengo la kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kuanzishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, Jumatatu, Oktoba 26, 2026. Wito huo unakuja...
  16. mrxtz2026

    Wakili Maduhu: Kwa Hali hii Je, Muundo wa Kikatiba wa Baraza la Mawaziri umebadilika Bila Mabadiriko ya Katiba.?

    Ameandika Wakili Maduhu William katika Kurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo: Hii page ya @ikulu_mawasiliano Nani anaeiendesha.? Nimeona picha walizopost Mhe Rais akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri na wao wameandika ni kikao cha baraza la mawaziri. Katika kuperuzi zile picha nikamuona...
  17. C

    Dkt.Ayoub Rioba : Katiba Mpya Isaidie Kukabili Mifumo ya Unyonyaji wa iliyoachwa na wakoloni

    Mtoa hoja huyo amesema anaunga mkono upatikanaji wa Katiba Mpya, akisisitiza kuwa haungi mkono chama chochote cha siasa kwa upendeleo, bali hutathmini vyama vya CCM, CHADEMA na vingine kwa kuzingatia hoja na utendaji wake. Ameeleza kuwa, ingawa Katiba Mpya ni muhimu katika kujenga taifa lenye...
  18. ShesRise_1

    Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
  19. BIOTOXINS

    USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  20. R

    Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
Back
Top Bottom