katiba

  1. K

    Katiba isitengenezwe na wanasiasa

    Naunga mkono hii 100%
  2. B

    Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  3. F

    Katiba Mpya Haimpeleki Rais Ikulu

    Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia. Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
  4. A

    Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  5. Katiba tuliyonayo haitoi tafsiri yoyote kuhusu uchochezi

    Wanabodi, Mengi yametokea katika kinyang'anyiro hiki cha kudai tume huru na katiba mpya na mengi yatazidi kutokea. Hatujapata uamuzi wowote ila ni vyema kama tungetupia jicho kwenye katiba tuliyonayo sasa hivi kupata tafsiri ya yanayoendelea. Zimepita siku chache tangia mwenyekiti wa baraza...
  6. Katiba inaeleza haya kuhusu shughuli za siasa zinazofanywa na wana CHADEMA

    Wanabodi, Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya shughuli zao kama ilivyo elezwa kwenye katiba. Je wana CHADEMA wanahaki kikatiba kufanya shughuli zao...
  7. Dkt. Slaa: Tusitegemee muujiza kwenye kitu kinachoitwa Katiba

    "Ili chama cha siasa kipendwe na wananchi, hakina budi kuwa na agenda zinazogusa umma" ==== Balozi wa Tanzania nchini Sweden anayemaliza muda wake, Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya ni muhimu, lakini linahitaji maandalizi ya kutosha na ya msingi. Dk Slaa ameyasema hayo katika...
  8. A

    Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  9. L

    Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  10. S

    SoC01 Kwako Mwalimu Kashasha: Niambatane na anayechana bendera na kujifunika na katiba? Au anayechana katiba na kujifunika na endera?

    Ilikuwa jioni moja tulivu mwalimu Nyerere alipokutana na mwalimu kashasha (mchambuzi mahiri wa mpira wa miguu). hii ni mara ya tatu wanakutana tangu kuwasili kwa mwalimu kashasha kwenye jumba la milele la watu wote. wakati wanangojea zamu yao ya kucheza drafti ifike, walianza kutaniana huku...
  11. Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  12. Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. By Daniel...
  13. Waziri Simbachawene; Tanzania Hakuna shida ya katiba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi. "Shida ya katiba...
  14. B

    Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

    Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
  15. Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  16. Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  17. Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    "Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi. Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa...
  18. F

    Mvutano upinzani na dola mfitini ni katiba?

    Nyanja: Demokrasia/Utawala Bora Ninaandika andiko hii nikijuwa wazi kabisa kuwa wapo watakaopingana nami jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa ufahamu wangu, sijui wa kwao, lakini pia raha ya kujifunza ni kutofautiana kimantiki ya hoja, kwa sababu ni ustaarabu kukubaliana kutokubaliana (agree to...
  19. Katiba ni mhimu kwa vyama vyote

    Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais magufuli pamoja na wapambe wake,( polepole, kabudi, kakurwa, na wengineo) walisema sio kipaombele chao...
  20. Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…