katiba mpya

  1. Rais Samia, Anasoma JF!, Jana Asubuhi Niliuliza Je ni Tunafanya "Mabadiliko ya Katiba" au "Katiba Mpya", Jana Mchana Rais Kajibu ni "MabadilikoMpya!"

    Wanabodi, Kwanza hakuna ubishi kuwa Rais Samia, akipata nafasi, huwa anaingia jf na kutusoma, kwasababu kuna siku alimuita Maxi "Mwanangu Maxi", Kisha akasema mwenyewe huwa anaingia jf na kutusoma, kisha huishia kucheka tuu, hakusema kama hoja za jf, huwa anazifanyia kazi. Thinking Aloud...
  2. C

    Sababu 10 zinazothibitisha kwa nini serikali ya CCM haiwezi kuleta katiba mpya ambayo wananchi wanaitaka

    1. Hofu ya kupoteza mamlaka makubwa ya Rais. Wananchi tunataka Katiba mpya itakayoweka mipaka ya mamlaka ya Rais, kuimarisha Bunge na Mahakama na kupunguza uwezo wa Rais kufanya maamuzi bila udhibiti. Lakini pia Katiba kuruhusu Rais kushitakiwa ikiwa ataenda kinyume na katiba na sheria za nchi...
  3. Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  4. K

    Huyu Mama anampango wa kuongeza muda kisingizio katiba mpya

    Huyu Mama mwizi wa kura anategea mchakato uwe 2029 ili watafute visingizio vya kumuongezea muda zaidi. Hakuna nia yeyote ya katiba hapa tutapelekwa kama misukule kwa miaka miwili tukiaminishwa wana nia ikifika 2029 ni yaleyale ya 2014 lakini ataweka mazingira ya kuongezewa muda. Kama kweli...
  5. F

    Ili tupate Katiba mpya bora, Marais wastaafu wasiruhisiwe kugombea

    Katiba mpya izuie uwezekano wa aliyepo au wastaafu kuja kugombea itapopatikana. Isipofanyika hiyo, katiba hiyo mpya itakuwa mbaya na mbovu kuliko iliyopo. Nisahihishe nilipopunguka Nawasilisha.
  6. Katiba mpya ije ifute hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa wa magereza.

    Leo nimemsikia Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan akilihutubia taifa amesema katiba mpya itaanza kuchakatwa kuanzia 2029s, nitatoa maoni yangu ili hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa vifutwe Tanzania Kuna chama kinaongozwa na mfungwa wa magereza hii ni kwasababu katiba ya Nchi haijagusia suala...
  7. Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi mwamba kabisa DK. Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2029 tutakua na Katiba mpya.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
  8. Rais Samia: Ikifika 2028/2029 tutakuwa na Katiba Mpya

    Akizingumza leo Rais Samia amesema Tume ya maridhiano tutaitangaza hivi karibuni...kwa nini tume ya maridhiano? Tunafanya tume ya maridhiano ili kulirudisha Taifa pamoja, kutoa hoja zinazotukera, kujua nini kibadilike kwenye Katiba yetu, halafu ndio twende kwenye mabadiliko ya Katiba, kama...
  9. Samia kasema eti 2029 tutakuwa na Katiba mpya. Anatupangia?

    Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2028 hadi 2029, katiba mpya au iliyorekebishwa itakuwa tayari. MY TAKE Katiba ni ya Wananchi kwanini anajimilkisha? Aache tume ndo Iseme. NB: Freeman Mbowe anawakilisha Familia yake sio CHADEMA. Mbowe kajipeleka eti anawakilisha wazee wa. CHADEMA...
  10. Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  11. C

    Benson Kigaila: Hakuna ugomvi wowote kati ya CHADEMA na CCM ila kuna madai ya watanzania dhidi ya katiba mpya

    Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Benson Kigaila, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) havina ugomvi unaohitaji kusuluhishwa, bali kinachopaswa kushughulikiwa ni madai ya Watanzania kuhusu masuala ya kitaifa. Akizungumza...
  12. Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  13. O

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Wadogo zangu HECHE na MNYIKA,ninapenda kuwapa ushauri kama kaka yenu na kama mtu niliyegombea UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA,nafasi ambayo kama mambo yangeenda vizuri basi ninyi mngekuwa wasaidizi wangu wa karibu kabisa. Kwa kutumia uzoefu wangu wa kisiasa na umri wa kuishi hapa duniani...
  14. Hitaji la Katiba Mpya

    Kuna Watu wamejitwisha jukumu la kupinga sauti za wananchi kutaka Katiba mpya. Piga kura kuunga mkono au kupinga kusudio la kupata Katiba ya wananchi
  15. L

    Sioni Sababu ya Kuharakisha Na Kufikiria Suala la Katiba Mpya kwa sasa. Kipaumbele cha Watanzania ni Maisha yao na Ustawi Wao Pekee

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza tuseme wazi kuwa suala la katiba mpya siyo Muarobaini Wa Matatizo na Kero za Wananchi. Kenya walisifiwa Sana kuwa na Katiba nzuri. lakini sote ni Mashahidi na Mashuhuda namna kenya Ambavyo Wananchi wanaendelea kuteseka na hali zao mbaya za Maisha hadi wanafikia...
  16. A

    Ado Shaibu amembana Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya

    Leo katika kikao cha Bunge la 13 mheshmiwa Ado Shaibu ameuliza kwa ukaribu kwa Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amejibu kuhusu swali la Ado Shaibu na kusema “hoja ya Ado Shaibu sio hoja mpya, serikali imetoa tamko mara kadhaaa na ni hoja ambayo ina uzito na umuhimu...
  17. R

    Mwigulu: Mwongozo wa Katiba mpya umeshatolewa. Serikali ya Rais Samia inatambua Katiba ni msingi wa upatikanaji wa haki

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amehoji Bungeni leo kuhusu utekelezaji wa ahadi ya serikali ya kufufua mchakato wa Katiba mpya, akitaka kujua ni lini mchakato huo utaanza rasmi na utakuwa na sura gani. Ameongeza kuwa bunge linakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu lizinduliwe, huku...
  18. B

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao. WE ELEWA HIVYO
  19. Q

    Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani. Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema...
  20. Wakili Maduhu: Kwa Hali hii Je, Muundo wa Kikatiba wa Baraza la Mawaziri umebadilika Bila Mabadiriko ya Katiba.?

    Ameandika Wakili Maduhu William katika Kurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo: Hii page ya @ikulu_mawasiliano Nani anaeiendesha.? Nimeona picha walizopost Mhe Rais akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri na wao wameandika ni kikao cha baraza la mawaziri. Katika kuperuzi zile picha nikamuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…