kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

    Wakuu, Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima! Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌 Siku hiyo ntapiga maji hadi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu 2026/2027: Tusome katikati ya mistari

    "Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali. Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  3. JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

    Habari ndiyo hiyo, kama unatarajia kwenda popote, badili njia. Hata bodaboda hazipiti
  5. JamiiForums Tanzania Maridhiano hayo mnayoyaandaa ni kati ya nani na nani?

    Kama maridhiano yatakuwa kati ya nyie vyama vya siasa basi mfahamu mtafanya kazi bure.Maridhiano ya kweli ni kushugulikia mambo ambayo wananchi wanayataka kama kukomesha ufisadi,uongozi bora,kukomesha utekaji na kurudishwa waliotekwa,kuwajibishwa kwa wauaji Nk...
  6. JamiiForums Tanzania UNDP, Finland watambulisha biashara Ndogo, Ndogo, na za Kati 14 zinazojihusisha na biashara endelevu

    Wazindua awamu ya pili ya maombi ya ufadhili Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, kupitia programu yake kinara ya ubunifu ya FUNGUO inayofadhiliwa kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya, Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO), na Serikali ya Finland...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  8. JamiiForums Tanzania Zoezi la kubadili TAHASUSI na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne lafunguliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026. Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
  9. JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  10. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Iran kuvua magwanda na kukaa kati ya raia kuwa kinga dhidi ya mashambulizi ni uhalifu wa kivita na hao raia watahesabiwa kama jeshi

    Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara. Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele. Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  16. JamiiForums Tanzania Ingekua wewe ungechagua nini? Kati ya data analysis au programming?

    Nina mwanafunzi anayesoma ICT, Yuko mwaka wa kwanza Sasa, amenambia wanagusa Kila sehemu wanasoma cyber security, networking, web development, programming, n.k kaniuliza achague kipi hasa kitakachomsaidia kwenye kujiajiri? Au kufanya kazi na kampuni mbalimbali, kuliko kusubiri ajira za serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya pesa na furaha?

    Kipi bora kati ya pesa na furaha?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue lipi kati ya magari haya?

    Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa mzalendo?

    Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi? Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa. Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…