kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Kati ya Tundu Lisu na Sinde Warioba nani, Mungu akitenda muujiza, nani awe Rais?

    SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa takwimu, kati ya Watanzania 10 maskini, 7 ni wanawake. Sasa kwa nini wanawake hupewa nafasi zaidi za kufanikiwa kuliko wanaume

    Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

    Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ChatGPT ukimuambia achague random namba, kati ya 1 na 100, mara nyingi atachagua 73?

    Kavurugwa. Gemini yeye anapenda 42.
  6. JamiiForums Tanzania Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya udereva wa mjini na masafa marefu upi ni mgumu.

    Tuseme dereva A anaendesha coaster transmission manual ambayo ni daladala route ni Mbezi to Mnazi Mmoja dereva B anaendesha Special hire gari ni Ile Ile kakodiwa kuwapeleka abiria Arusha kwenye Send off. Nani ana kibarua kizito.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

    NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna sintofahamu kati ya elimu ya Tanzania na Mahitaji ya soko la ajira/kidijitari

    Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya & TANROADS, ingilieni kati hali ya vumbi jiji la Mbeya kabla haijageuka janga la afya ya umma

    1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa. 2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

    Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

    Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya hizi tafiti(kazi) 2 utachagua ipi?

    1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa muda wowote ule ila hutoki nje hata kunyosha miguu kazi yako ni kila siku kupiga nyeto bao zaidi ya 2...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  17. JamiiForums Tanzania Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

    Shikamoni wakubwa.. Vijana wenzangu mambo vipi.. Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni mwa mwaka niliamua nipambane nikafanya kazi mbalimbali kama saidia fundi na kufyeka n.k...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichokesema Thierry Hendry baada ya game ya jana kati ya PSG na Bayern Munich. UCL semi fainal

    heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4 "Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals, end-to-end, moments everywhere, Everyone is on social media screaming, 'Oh, what a game! But is it? Really...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

    Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…