kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
  2. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
  3. JamiiForums Tanzania CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisikia Paah Vs Mchuzi wangu ipi Collabo kali?

    Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ? Ukisikia paah ya JCB original + Remix VS Mchizi wangu ya Nako2Nako original + Remix Nataka kuona collabo itakayo ibuka kidedea hapa
  6. JamiiForums Tanzania Nani Kati ya hawa mkali zaidi na nani sio mkali kabisa?

  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…