kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

    Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Bear Grylls na Ed Stafford nani Survivalist zaidi?

    Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi. Wote wana historia ya kupitia jeshini (wanajeshi wastaafu huku bear grylls akiwa na medani ya heshima ya malkia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke lakini Mume na Mke hakuna usawa

    Salaam shalom!!! Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke, Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume. Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi vyuo vya kati kuna bata kama vyuo vikuu

    Tumezoea kusikia kwamba chuo ni bata sana kusoma kidogo na pia chuoni kuna warembo wengi( pisi kali ).sasa nilikuwa nauliza je hayo maneno yana ukweli na kama ni kweli je hali ipo hivyo hata katika vyuo vya kati au ni vyuo vikuu tu like UDOM,udsm etc...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wainuka kati ya Wananchi na TANROAD Njombe

    Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa Itoni-Lusitu wanadai Barabara hiyo inakwenda kuharibu mito kwa itapita kwenye vilima ambavyo ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Mfaransa na Mreno nani alifanikiwa kwenye assimilation policy Africa?

    Assimilation sijui neno lake kwa kiswahili. Niiweke hivi asimileshen ni idea flani hivi watu wanalazimishwa kwa hiari kufuata na kuridhia tamaduni za wengine nakuacha tamatuni zao. Mfaransa na Mreno waliweza kufanikisha hili kwenye makoloni zao walizotawala Africa kwa mafanikio makubwa sana...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

    Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki? Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani. Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati. "We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Fast and Furious zote ni zipi 3 kwako ni bora kuliko zote?

    Jamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years: The Fast and the Furious (2001) 2 Fast 2 Furious (2003) The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006) Fast & Furious (2009) Fast Five (2011) Fast & Furious 6 (2013) Furious 7 (2015) The Fate of the Furious (2017)...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  14. JamiiForums Tanzania Wewe ni mmojawapo kati ya wale watakaodanganywa leo?

    Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu? Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendana🥰lakini ukikutana na wale wa “babe I will call you in the next...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

    Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI". Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
  16. JamiiForums Tanzania Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
  17. JamiiForums Tanzania Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu

    Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu leo pale waandamanaji kwenye mitaa tofauti ya Tel Aviv kuziba njia kuu za usafiri. Hata hivyo Netanyahu pekee ndiye amekuwa na tamaa ya fisi ya kuishinda Hamas ambapo ametoa amri ya jeshi lake...
  19. JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

    Maalumu kwa fans wa Ucheshi. Picha zao hizi hapa
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…