kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Chris Hermworth na Jason Momoa nani mkali kwenye Movies/Series?

  2. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

    Points zangu ni zifutazo 1. Pombe Inamaliza Sana Hela hasa ukinywa za kampani za kuzungusha yule mupe yule muruke ila bia za kunywa mwenyewe hazifilisi hata kidogo kwani huwezi kuchoma laki Kwa siku ukiwa unakunywa peke yako 2. Mademu Hawamalizi Hela kama ukiwa na msimamo mmoja kwamba bei...
  4. JamiiForums Tanzania Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

    Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka? Twende sasa 1. Kuoa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya tulipotoka na tunapoelekea ni kizazi kipi kimetenda au kitatenda maovu zaidi?

    Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui Mungu? Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi. Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu..... Asante.
  7. JamiiForums Tanzania Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama. Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo. Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi...
  8. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

    Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guédé Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna shaka za rushwa zinazozunguka uteuzi wao kwa mechi kubwa, hususan kwa Guédé. Uwezo wa Guédé ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga. Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Jude Bellingham amepewa Kadi nyekundu na mchezo ulikuwa umekwisha malizika?

    Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia. Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  14. JamiiForums Tanzania Kitabu kipi Kimekupendeza na zipi falsafa ulizopenda humo kati ya Mkapa na Mwinyi

  15. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

    Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

    Habari za asibuhi wakuu, Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake? Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Liverpool na Chelsea Leo carabao cup mwamuzi wa kati simuelewi kabisa

    Huyu cancedo amecheza rafu ya ajabu harafu mwamuzi wa kati kaangalia tu!
  19. B

    JamiiForums Tanzania Yupi mkali kati ya Chidi Benz na Daz Baba?

    wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…