Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...