kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

    Wanaukumbi. Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

    Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze...
  4. JamiiForums Tanzania Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  5. JamiiForums Tanzania Nitumie njia Gani kati ya hizi

    Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

    Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba nani anapigika leo kwenye Kariakoo Derby?

    Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe! Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
  8. JamiiForums Tanzania VOA; Mshirika wa Putin afanya mazungumzo nchini Iran huku Mashariki ya Kati ikielekea ukingoni mwa vita vikubwa

    Wanaukumbi. MOSCOW - Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas. Urusi imelaani mauaji ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu kati ya CPA au degree ya accounts nianze kipi?

    Wakuu habari za leo! Natumai mu wazima wa afya. Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Wachambuzi tofautisheni kati ya DEBORA na DEBRA, msichafue majina ya watu.

    Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
  11. JamiiForums Tanzania Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

    Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  14. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  15. JamiiForums Tanzania Ipi ni njano kati ya hizo jezi mbili?

  16. JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  17. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji G/Pixel 4 ama 5...Nishauri kwa sifa na uwezo kati ya hizi.

    Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google.. Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili... Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6. Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake. ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…