kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Majaliwa aingilia kati sakata la RC, DC, kutumia nguvu ya madaraka vibaya

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu aingilie kati utendaji mbovu wa taasisi ya elimu TET/ TIE

    Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA. Jambo la kusikitisha saana , kumekuwa na madudu mengi saana katika taasisi hii muhimu katika Elimu yetu. Ni jukumu kuu la...
  4. JamiiForums Tanzania Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

    Nimefika Accra, Ghana (jumanne, tarehe 17/03/2025) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani. Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya. Hatua za haraka zinahitajika...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  8. JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  9. JamiiForums Tanzania Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

    Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
  12. JamiiForums Tanzania TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  15. JamiiForums Tanzania Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Jumamosi, 17 Agosti 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

    miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume chukua hii; Mwanamke kama hajakuua Juu, basi atakuua kati au chini.

    Mwanamke ni kiumbe chenye kuvutia sana kwa asili ya uumbaji lakini ni kiumbe hatari kwa namna isiyoelezeka kwa urahisi, nachotaka kusema hapa ni kwamba mwanaume yeyote lazima uzingatie namna ya kuishi na hawa viumbe kwa umakini kubwa sana ndio maana Biblia imetuasa na kututahadharisha kuishi nao...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  20. JamiiForums Tanzania Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…