kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  2. JamiiForums Tanzania Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama uchaguzi ni namba, mpaka sasa Lissu ana kura 14 kati ya 21 za Njombe

    Awa ni wajumbe wa Njombe 14 kati ya 21 waliojitokeza kumuunga mkono Lissu. Mpaka sasa Lissu ameshachukua uenyekiti Njombe bado kuapishwa tu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

    1-Kazi/ajira ya kueleweka. 2-Familia 3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje adai Lissu akiwa Mwenyekiti Kanda ya Kati alitimuliwa na Kamati Tendaji mwaka 2012

    Heshima sana Wanajamvi. Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati. Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza. Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wenje usipotuambia COVID-19 na Abdul wamemchangia Mbowe kiasi ngani kati ya hizo 250m. Tutaamini uongo wa Lissu akikujibu.

    Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

    Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
  12. JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  13. JamiiForums Tanzania Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  14. JamiiForums Tanzania fahamu imani hizi za aina mbili kisha jitafakari kuwa wewe ni mfuasi wa imani ipi kati ya hizi kwenye haya madhebu wasabato, waislam, wakatoloki,

    post closed
  15. JamiiForums Tanzania Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

    Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
  16. JamiiForums Tanzania Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  17. JamiiForums Tanzania NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.

    Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
  19. L

    JamiiForums Tanzania Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuisimamisha Israeli kwa huu ubabe anao onesha Mashariki ya kati?

    Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa Serikali ya mapinduzibua Irani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…