kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Adnan Khashoggi — “The Great Gatsby wa Mashariki ya Kati.”

    Adnan Khashoggi alikuwa bilionea wa Saudi Arabia, mfanyabiashara wa kimataifa na mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika biashara ya silaha ya karne ya 20. Alijenga utajiri mkubwa kwa kuwa kiungo kati ya serikali, familia za kifalme, kampuni kubwa za silaha na watu wenye ushawishi duniani. Sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Kasi mpya ya mivutano Mashariki ya Kati, mafuta kupanda bei

    Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta. Ikumbukwe pia Houthis...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  4. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Sea na Ocean?

    Wenzetu ambao mmesoma Elimu mbali mbali, ni ipi tofauti kati ya Sea na Ocean? Kuna maneno ya kiswahili ya Sea na Ocean?
  5. JamiiForums Tanzania Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

    Wakuu kati ya gari hizi nichukue ipi; Vitz old model,Funy Cargo,Suzuki swift old model,corrola ya 4E, raum old model
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji Ingilia Kati Wizi wa Mita za maji Iringa mjini

    Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini. Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report utapewa control number ulipie shilingi laki moja kama malipo ya kufungiwa mita mpya halafu ukifungiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Haiti hiyo nchi isha jifia, marekani waingilie kati kwa hao watekaji waliomua vibaya huyo dada kwa mapanga

    Asee hili swala dunia ipige kelele. Ester Tomas, maarufufu nice b anasakwa na polisi akidaiwa kuhusika, alie katwa mapanga anaitwa baby love
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Waislamu na Wakristo ni Wapi Wanaongoza kuwachokoza/Kuwatesa wenzao?

    Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat kake eti akaswalie ndani ya Vayican. Hebu fikiri mkiristo alajaribu kufanya Ibada ya Kikiristo pale...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Madaraka: kuna tofauti kati ya taifa na serikali!

    Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
  10. JamiiForums Tanzania Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

    Mdau Je, wewe huwa unaanza na kipi kati ya hivi ukiamka asubuhi?
  11. JamiiForums Tanzania Tukutane 2056 kati ya wanaokubali ndoa na kataa ndoa

    Nawasalimu wakubwa na wadogo Nimefikiria mada hii kwa uoni wa mbali sanaa mana vijana wengi humu ndani saivi wanabishana sana kuhusu ndoa na vijana hawa wengi ni wa 90's Mpaka mwaka huo wengi wa vijana wa 90's kama tutajaaliwa kufika tutakua tushakua wazee sasa nataka tuje kuona wepi walikua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyuo vya Afya vya binafsi vinatakiwa kuweka mkazo kwenye ubora wa elimu kuliko mapato

    Vyuo vya kati vya afya vinavyosimamiwa na NACTVET, hususan baadhi ya vyuo binafsi, vinapaswa kuweka mkazo zaidi katika ubora wa elimu na mafunzo ya wataalamu wa afya kuliko maslahi ya kibiashara. Nguvu na rasilimali zinazotumika kuboresha miundombinu na kutangaza vyuo ili kuvutia wanafunzi...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa ya kiroho kati ya jua na mwezi( patano la uwili)

    Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
  14. JamiiForums Tanzania Hii hapa tofauti kati ya Maandamano na vurugu.

    Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu? Haya hapa ndio maandamano https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni. kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

    Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu. Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi. Kwa kuzingatia...
  18. JamiiForums Tanzania Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano Gani kati ya Juhudi binafsi,saikolojia, ushirikina na kumuomba Mwenyezi Mungu

    saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi 1. Saikolojia Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu. Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini. Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…