CCM, dunia nzima inajua kuwa tume ya uchaguzi ya sasa haiwezi kuwa fair by all imaginations! Dunia nzima inajua hilo!
From the innermost chambers of your hearts, mnajua kuwa tume "yenu" haina fairness yoyote, haiwezi kutenda haki.
sasa mnaogopa nini kuifanyia marekebisho pendekezwa?
Jibu ni...