Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...