kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 111 ya kuzaliwa kwa mwasisi wake

    Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa milele” likipandishwa juu jijini Pyongyang. Wanawake waliovalia nguo za kitamaduni walionekana...
  4. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  5. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  7. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafichua ushahidi wa kwanza wa silaha za kinyuklia

    Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia zenye uwezo wa kulenga shabaha nchini. i Korea Kusini. Lakini picha ilizochapisha katika gazeti lake...
  8. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
  9. JamiiForums Tanzania Japan: Korea Kaskazini imerusha kinachoonekana kuwa ni kombora

    Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora. Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua. Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo...
  10. JamiiForums Tanzania Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  12. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema urushaji huo wa makombora ambao uliothibitishwa na jeshi la Korea Kusini, ulikusudiwa kuthibitishwa kutegemewa kwa makombora hayo na uwezo wa kujibu kwa haraka kitengo kinachoongoza silaha hizo. Shirika la habari la Pyongyang limeripoti kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  14. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa shule mpya ya sekondari ya sekouture - jimbo la Singida kaskazini

    UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI. Mnamo mwezi Januari 09 2022 Wananchi wa Kijiji cha Sekouture wakiongozwa na Viongozi wao Walifanya hafla ya...
  15. JamiiForums Tanzania Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  16. JamiiForums Tanzania Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

    Kutoka Radio One asubuhi hii saa 12:50 kipindi cha Nipashe, Nimemsikia msoma risala ya kumuaga Kiongozi mmoja wa JWTZ akisema Chacha Suguti alizaliwa wilaya ya Tarime - mkoa wa Mara uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania!!! Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations? Je, ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  18. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

    Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa. Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  20. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

    Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa..... North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…