Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.
Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini
Familia ya Mengi
IPP Group
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200
Ridhuan Mringo
Derm Group
Mwanga Hakika Bank
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100
Silvestery Koka
SF Group
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80
Ernest Massawe
Erncon Holding
Tol...
Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama.
Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
Declaration of Interest:
Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini.
Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa.
Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu hivi , ni kwamba kaskazini Hususani Arusha na Kilimanjaro ni kama ma tom Boy ni wengi.
Sababu inaweza kuwa nini kwa hii Hali?
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezaji
uwekezaji tanzania
wote
MFUMO MPYA UNAOLINDA KOREA KASKAZINI DHIDI YA MAADUI ZAKE.
Ulimwengu unajua vyema kuwa katika mikakati ya kijeshi, zipo mbinu maarufu kama "mpango maalum wa kushambulia na kumwondoa kiongozi mkuu wa nchi kwa makombora ya usahihi wa hali ya juu kabla hajapata nafasi ya kutoa amri ya vita.
Katika...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado amepokelewa kwa kishindo na shangwe kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika viwanja vya Baraza la Idd Tunduru Mjini, tarehe 23 Agosti 2026 kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Mkutano wa Bunge la Bajeti na kukusanya maoni kuelekea Mkutano wa Bunge ujao...
Everybody knows north hakuna boya kwenye angle yoyote ile.
Vijana wa kaskazini wako mbele ya muda sana.
Siku tz ikipitia kwa kijana yoyote mwenye DNA ya north mabadiliko yataanzia hapo.
#Nyerere hakuwa sahihi kusema vijana wa North wasipewe uongozi wa juu taifa la Tanzania
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi.
Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
NETANYAHU ANUSURIKA BAADA YA SHAMBULIO LA DRONE YA MAGAIDI WA HEZBOLLAH WAKATI WA ZIARA YAKE KASKAZINI ‘YA ISRAEL. Waziri Mkuu wa 'Israel' Benjamin Netanyahu amenusurika dhidi ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah wakati alipotembelea...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja chengine). Hapo tayari ubora wa kiwanja haujafikiwa, kila siku itakuwa ni ukarabati.
Mhe. Katibu Mkuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
YAH: KUJIUZULU NAFASI YA KATIBU WA KANDA - KASKAZINI
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kwa heshima kubwa ninapenda kujulisha kuwa ninajiuzulu nafasi yangu ya ukatibu wa Kanda ya Kaskazini kuanzia leo hii tarehe 01.04.2026...
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
Kabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo
1. Kama mtu atafanya uhalifu, atafungwa jela yeye, watoto wake na wajukuu zake wote
2. Hutakiwi hata kutafakari kuhusu uhalifu, yaani ukikamatwa hata ukitafakari au kujiuliza...
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3.
1. Division 1 hadi 3
Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele.
2. Division 1 hadi 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.