kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kuahirisha uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema Kanda ya Kati na Kaskazini

    Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea. Unazijua sababu za uchaguzi huo kuahirishwa? Sababu ni kwamba;- wagombea wa Mbowe ktk Kanda hizo walikuwa hawakubaliki. Kanda ya kaskazini...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

    Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

    NA SAMWEL JOHN LEMA Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa. Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakulima wa choroko kanda ya kaskazini

    Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
  7. JamiiForums Tanzania Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  8. JamiiForums Tanzania Joe Makini mwamba wa kaskazini

    JOE MAKINI - DAKIKA 90 Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana lakini mchezo mmeushudia dk 90/ hakuna jinsi nilivyo kukandamiza chini/ na stahili siti ndani ya v.i.p/...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Sasa ni rasmi ngome ya CHADEMA Kaskazini imekosa muelekeo

    Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii. Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
  11. JamiiForums Tanzania BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

    Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza. Mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  13. JamiiForums Tanzania BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza Kaskazini umefikia asilimia 44

    MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
  16. JamiiForums Tanzania Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

    Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu Lakini mbali...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

    Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
  18. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  19. M

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kusini imepaniki kwa taarifa zisizothibitishwa kuwa askari wa Korea ya Kaskazini wanapigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine

    Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
  20. JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…