kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini inabidi muungane kuwaokoa wenzenu Wamasai

    Ukweli ni kwamba kwenye hii nchi Kanda ya kaskazini inaongoza Kwa kuwa na rasilimali zenye kuingiza pesa za kigeni ... Sehemu popote ambapo mzungu anapapendelea automatically hapo kuna kisima cha hela. Wanalofanyiwa wamasai Kwa sasa ni uonevu wa Hali ya juu , Leo wanafukuzwa na inasemekana kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  3. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Maambukizi ya Covid-19 yawakumba zaidi ya Watu milioni 2

    Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2 Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
  4. JamiiForums Tanzania Vifo vipya 21 vyaripotiwa Korea Kaskazini

    Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa. Korea Kaskazini ambayo ni mojawapo ya Nchi ambazo hazikuwa na kampeni ya chanjo ina kiwango cha chini cha...
  5. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

    Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita, Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani, Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania, Mpinzani wa kwanza strong wa...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  8. JamiiForums Tanzania Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

    Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali. Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/= Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usafiri wa treni ya abiria kwenda mikoa ya kaskazini 2022 ukoje?

    Wadau naomba kuuliza ratiba na nauli kwenda mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ikoje? Pia ushauri wa jumla kuhusu usafiri huu kwa Sasa. Thanks
  13. JamiiForums Tanzania Majaribio ya Makombora Korea Kaskazini

    Vyombo vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa zaidi kutoka mwaka 2017. Picha hizo zinaonesha sehemu za rasi ya Korea na maeneo yaliyo karibu yakionekana kutoka angani. Korea Kaskazini ilisema kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka avunja ngome za ACT-Wazalendo na CUF Kaskazini Pemba

    ...... Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Nec Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevitikisa vyama vya Upizani vya ACT- Wazalendo na CUF katika Jimbo la Tumbe kijiji cha Chimba, Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba. Takribani jumla ya Wanachama 445 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kaskazini Pemba

    ZIARA YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA KASKAZINI PEMBA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika ukaguzi wa ujenzi wa Ukingo wa bahari kuzuwia eneo la bahari isingie kwenye makazi ya wananchi, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara 192 ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kaskazini tumeanza kupata mvua tangu jana

    Jambo la kushukuru Mungu sana maana hali ilikuwa tete sana. Mbali ni vifo vingi vya mifugo pia hata vyanzo vingi vya maji vilikuwa vishaanza kukauka. Hatari kwa kibinadamu pia ilikuwa inatunyemelea maana hata vifo vingetokea kwanza kutokana na jua kuwa kali na pia ukosefu wa chakula. Hii...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  20. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Foleni kubwa zaonekana kwenye ukataji wa ticket

    Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…