kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha ndegevita zaidi ya 200 jirani na mpaka wa Korea Kusini

    Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini ilirusha makumi ya ndege za kivita baada ya kuona idadi kubwa ya ndege za kivita za Korea Kaskazini kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  3. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu

    Leo Alhamis Uzinduzi huo ulishindwa wakati wa utengano wa hatua ya pili, afisa wa kijeshi wa Korea Kusini aliiambia Yonhap Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu (ICBM) kama sehemu ya onyesho la nguvu kubwa dhidi ya michezo ya kivita inayoendelea kati ya Marekani na Korea Kusini...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Vodacom wameondoa Kaskazini Offer tu au wameondoa Offer zote?

    Heshima kwenu. Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line yaTigo. Sasa juzi najaribu kuunga kifurushi kwa line ya Voda nashangaa...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

    Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari. Hii dunia...
  7. JamiiForums Tanzania Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

    Hakuna kuachia, moto ni ule ule.... Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine. The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
  8. JamiiForums Tanzania Kamala Harris atembelea Korea Kusini, Korea Kaskazini walipua makombora baharini

    Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini. ======= US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
  9. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakana kuiuzia Urusi silaha na wala haitafanya hivyo

    Korea kaskazini imekana kuwa haimpi mrusi siraha wala haina mpango huo baada ya ripoti ya marekani kuwa korea ambaye ni mshirika wa karibu wa urusi imeombwa na urusi kumpa siraha. ========= North Korea says it has never sold weapons to Russia and has no plans to do so in the future, following...
  10. JamiiForums Tanzania Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

    Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

    Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe. KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

    Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia. Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
  14. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

    Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na televisheni ya taifa ya Urusi. --- North Korea offers Russia ‘100,000 volunteers’ to fight Ukraine, says...
  15. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  16. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  17. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yadai mlipuko ulisababishwa na 'vitu vya ajabu'

    Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things). Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni mwa mlipuko huo baada ya kushika vifaa visivyojulikana karibu na mpaka wa Korea Kusini. Japokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

    Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea. Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka...
  19. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu wa tumbo waibuka Korea Kaskazini

    Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19. Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

    Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo? Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…