kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DC SHAKA ATAKA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO KILOSA, KASI YA UKUSANYAJI NA UWAJIBIKAJI

    DC SHAKA ATOA MSIMAMO WA UKUSANYAJI MAPATO KILOSA - Abainisha bila kujitathmini mafanikio ni ndoto - Apigilia msumari dhana ya uwajibikaji na utawala bora Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka Madiwani, Viongozi wa Kata na Vijiji kushirikiana pamoja katika kuongeza kasi ya...
  2. K

    Kwanini heshima ya Jaji Mkuu na Mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?

    Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa? 1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi 2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo 3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja 4. Kesi nyingi za kisiasa...
  3. comrade_kipepe

    Internet leo ipo kasi vibaya mno

    Ni hii VPN yangu au kwakua wengi hawapo online leo aiseee
  4. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  5. Ntemi_Ntale

    OpenAI Imezindua GPT-6.1 Terra: AI Model yenye Kasi na Bei Nafuu kwa Kazi za Kila Siku

    Kwa Ufupi ni Kwamba : OpenAI imezindua GPT-6.1 Terra, model ya ukubwa wa kati inayolenga kazi za kawaida za kompyuta kama kuandika, coding na kuendesha programu za kompyuta (computer use). Gharama zake zimeshushwa karibia nusu ukilinganisha na GPT-5.6 Terra. Inapatikana sasa kwa watumiaji wa...
  6. Zack Abdul

    Mkutano wa Nairobi (COP12) Washika Kasi Dar

    Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  7. Zack Abdul

    Kasi mpya ya mivutano Mashariki ya Kati, mafuta kupanda bei

    Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta. Ikumbukwe pia Houthis...
  8. Wizara ya Ardhi

    Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  9. ndege JOHN

    Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

    kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga. Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
  10. Red black

    Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

    Shida ni nini Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
  11. 2019

    Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  12. BigTall

    Ado Shaibu: Kama naenda kasi katika kuwasemea Wananchi niambieni nipunguze

    Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan katika masuala ya haki, utekaji na changamoto zinazowakabili wananchi. Wamesema hayo Septemba 23, 2026...
  13. Roving Journalist

    Makatibu Wakuu EAC Wakubaliana Kuongeza Kasi ya Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya. Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
  14. Design Your Idea

    Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  15. Kaka yake shetani

    Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  16. X

    Marekani yaogopa kasi ya China kwenye AI, yaomba kasi ya AI ipunguzwe. China imekataa!

    Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI. Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua. Jibu la China...
  17. Traxtion

    Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  18. Design Your Idea

    Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  19. Sodoku Myebusi

    Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  20. Red black

    Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?

    Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
Back
Top Bottom