Wakati sakata la kuwa na mahusiano na mwanamke anaeaminika kuwa jasusi wa China halijapoa, CEO wa kampuni ya Nvidia Jensen Huang amekumbwa na kashfa nyingine ya kumsaliti mke wake.
Huang ametajwa kuwa alikuwa na mahusiano na mfanyakazi wa Nvidia anayeripoti kwake moja kwa moja.
Mfanyakazi huyo...
Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63
Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
Ukifika tinde pale ndio utajua kuwa kwa nini Congo ,rwanda , uganda na sudani yule jamaa alikuwa tajiri na kuwashika maraisi mmoja wapo huyu bi msumi.
Yoyote kama ni mtetezi wa huu ushenzi wa CCM kumbuka ukijitoa au kustaafu wanakufa na wewe.
Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza.
Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa.
Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto.
Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao...
Nadhani wahenga wenzangu mnakumbuka sakata hili.
Nimeona niilete habari hii kwa faida ya Gen Z.
Mwaka 1983 watuhumiwa wa uhaini walikamatwa na kuwekwa rumande gereza la Keko.
Pius Lugangira ambaye alikuwa kiongozi wa mipango hiyo, na Hatibu Gandhi, naibu wake, walitoroka toka gereza la Keko...
Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT.
Muhtasari wa Suala Hilo:
Uwekezaji na Ujenzi:
Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu maneno ya watu, Mungu anaweza kufanya jambo kubwa kupitia kila hali.
Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika kwa urahisi na wananchi wa Tanzania.
Hii ni kwa sababu matukio haya yanapojikusanya kwa wakati...
Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k.
nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache.
Watu...
baada
binafsi
hawana
imani
kashfa
kina
kuharibu
kuliko
kupotea
kupoteza
kuyumba
kwasababu
legacy
maslahi
maslahi binafsi
mchaga
msimamo
nyingi
sana
siasa
siasa za upinzani
tamaa
taswira
uaminifu
upinzani
uzalendo
viongozi
wachache
wachaga
wengi
Mhe. Peter Kisumo [marehemu] anajulikana kama Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuanzishwa kwake rasmi mwaka 1963.
Alifuatia baada ya kipindi cha mkoa huo kuwa sehemu ya Jimbo la Kaskazini chini ya Mhe. PC Edward Barongo (1961-1963). Kisumo aliongoza mkoa huo mpya.
Jukumu...
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao.
Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha...
Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini.
Mwaka 1951, akatokea mshua mmoja anaitwa Mohammad Mossadegh, akachaguliwa kuwa Waziri Mkuu. Huyu mzee...
Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo.
Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto.
Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu...
"Wakati Serikali ikijitetea kuifanya TPDC kuwa muagizaji pekee wa mafuta kwa kigezo cha kwamba itapunguza bei ya mafuta nchini, viwango vya faida (premium) vilivyowekwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kwa miezi ya Mei na Juni baada ya mfumo wa ushindani kufutwa, viko juu zaidi...
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.