kamwe

Kamwe also spelt Kamue) is a Chadic language autochthonous to Adamawa State, Borno State of Nigeria and North Western Cameroon.
In Nigeria about 80 percent of the Kamwe people are found in Michika Local Government Area of Adamawa State, Nigeria. They are also found in Mubi North, Hong, Gombi, Song and Madagali local governments in Adamawa State. The Kamwe people are also found in Borno State, especially in Askira/Uba and Gwoza local government areas
Blench (2019) lists Mukta of Mukta village, Adamawa State as part of the Kamwe cluster.

View More On Wikipedia.org
  1. jamaikatz

    Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
  2. GENTAMYCINE

    Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  3. N

    Nafasi ya master planner haiwezi kamwe kubaki wazi, akitoka tu mwengine au kikundi kitaijaza, Mnataka master planner mkabila / mkanda / mdini ?

    Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani. Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda huo huo haraka sana. Na wataojaza kuna risk kubwa wawe wametoka kabila kubwa (Nyerere alishaelezea...
  4. H

    Hakuna binadamu aliyeitumikia ccm na mwenye dini ya kuja atakayewapigania WaTanzania kamwe!

    Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake
  5. Lord Denning

    Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  6. Pdidy

    Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  7. Magufuli 05

    Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

    Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni. Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania. Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  9. The Dictator

    Wanaume zijue siri ambazo hupaswi kumwambia mwanamke wako kamwe

    Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua: 1. Hofu zako kuu. Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako. 2. Kiasi halisi cha salio lako la benki. Siri = nguvu. Uwazi kamili = udhaifu. 3. Idadi ya wapenzi uliowahi kuwa nao. Haitawahi kusaidia. Itabaki kukutesa. 4...
  10. Carlos The Jackal

    Huwezi kua mwenye Akili , Mzalendo, Unayejiamini , Usiye mbinafsi , alafu ukawa MwanaCCM na ukafurahia yanayoendelea Tanzania

    Wakuu hapa Akili simaanishi Elimu, Vijana wa CCM Akina Kawaida Simnaona Wana Degree lkn ni chapa maandazi, akiongea tu unajua Kichwan hamna kitu!!. Hata hivo ni kweli ,Mchakato wa MTU kufikia Elimu yake ya juu Kuna namna unaendana na Akili yake . Kwa Mfano, Unaweza Ona, Akina MPINA safari yake...
  11. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  12. kavulata

    Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

    Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga. Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo...
  13. D

    ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

    I wil be short hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana. mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
  14. BigTall

    Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  15. Mganguzi

    Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika na kamwe hatapata dawa! Mithali 29:1-14

    Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao Ufufuo na Uzima ndilo kanisa lao, wazee wasiojua chochote, akina mama ambao hawaelewi kabisa masuala ya...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

    UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo zinakupendeza, ukinyoa nywele mtindo wowote unatoka chicha. Kwa nini Uhonge? Kwa nini utumie pesa yako...
  17. GENTAMYCINE

    Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  18. GENTAMYCINE

    Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  19. Lord Denning

    Hitimisho: Watanzania mmejionea wenyewe, hawa ndo CCM, Kamwe msitegemee watatoka madarakani kwa njia za Kawaida au kubadilika

    Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia. Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
  20. GENTAMYCINE

    Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
Back
Top Bottom