kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  2. BoD Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni yako

    Habari za wakati huu; Kwanza kabisa nitanguliza shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa neema zake.Leo nataka tuzungumzie issue ya BODI ya kampuni na umuhimu wake.Kampuni nyingi private huwa zinafeli kwa sababu ya kuwa na BODI(BOARD ambayo ni pungufu) Ni muhimu kwa mmiliki kwa mjumbe wa bodi...
  3. Apple yaifungulia mashtaka kampuni inayomiliki Pegasus

    Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
  4. K

    Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Kwema job seekers wenzangu? Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa. Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu...
  5. Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  6. Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  7. Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya

    Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya ambayo itakuwa inatumika katika simu kali za bei nafuu ili kushindana na soko la Qualcomm. MediaTek inafahamika sana kwa kutengeneza processor za simu za bei nafuu kama vile Tecno, Realme, Oppo, Infinix n.k. Dimensity 9000 ni ubongo wa kwanza wa simu kutumia...
  8. Review: Tanzania kutofaidi kwa madini na gesi asilia Tatizo ni nchi sio kampuni za nje

    Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
  9. R

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  10. K

    Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  11. D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
  12. M

    Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

    Inakuwaje wanaJF! Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke wake Melinda. Sababu zenyewe za kumlazisha a jiuzulu ni nyepesi sana halafu za kipuuzi kwa mtazamo...
  13. K

    JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

    Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
  14. Kununua stocks/Hisa za Kampuni za Marekani

    Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
  15. Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu

    Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu Serikali ya Marekani imeiweka kampuni ya Israel inayotengeneza programu ya udukuzi ya Pegasus kwenye orodha ya makampuni mabaya, ikiishtumu kwa kutengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa serikali za kigeni, zilizoitumia vibaya...
  16. Wahanga wa bima za kampuni za ajali za magari tuonane😠

    Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo. Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
  17. Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
  18. Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

    Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine. Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
  19. Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

    Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina. Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta. Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii. Karibu meta. --- Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
  20. Kampuni ya Scancem yainunua Tanga Cement

    Dar es Salaam. Kampuni ya Scancem inayomiliki Twiga Cement imeafikiana na Kampuni ya Afrisam kununua asilimia 68.33 ya hisa za Tanga Cement ifikapo Juni 2022. Bei ya hisa moja itakayolipwa na Scancem kwa Afrisam ni Sh3,157, hivyo kufanya jumla ya fedha zitakazolipwa kufika Sh137.329 bilioni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…