kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kampuni nyingi hazina mifumo imara kukabiliana na ongezeko la watumiaji

    Habari wakuu, poleni na majukumu pia. Kuna Uzi alileta mdau mmoja kulalamikia mfumo wa TRA kuwa ifikapo muda wa kufile return Huwa unasumbua na kuchukua muda mwingi kupokea (mfumo kupakia data) hivyo huleta usumbufu kwa watumiaji Hivi pia nmeona makampuni kadhaa nitatolea mfano katika...
  2. DC Heri James: Fedha ya force account, iwanufaishe Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa

    Dar. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James amesema Fedha ya force account, ni kwaajili ya kuwanufaisha Mafundi Wazawa na Kampuni za Wazawa ili kuwe na mzunguko wa Hela Nchini. Ameyasema hayo wakati wa Kufunga mafunzo kwa Mafundi 1000 wa Wilaya ya Ubungo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kampuni ya...
  3. Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  4. Zijue kampuni kubwa duniani zinazotengeneza ndege na nchi zinazozimiliki

    Wadau mjue haya: 1. BOEING-MAREKANI 2. AIRBUS-(ULAYA-Ufaransa, Ujerumani, Hispania) 3. BOMBARDIER-CANADA 4. COMAC-CHINA 5. MITSUBISHI-JAPAN 6. UAC-RUSSIA 7. EMBRAER-BRAZIL Nawakilisha
  5. C

    Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  6. Kampuni ya ujenzi

    Nahitaji mtu mwenye KAMPUNI ya ujenzi ambayo kwa sasa haifanyi kazi tupatane namna ya kufanya kazi
  7. Nape Nnauye ana maslahi binafsi na hizi kampuni za mitandao?

    Watu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu. Kuna hii ya sasa kifurushi kinaisha haraka na maelezo kua ni hatujui kutumia simu, kweli? Wakati ukweli ni 1GB ya 2 weeks ago sio sawa na 1GB ya sasa. Sasa hivi inapukutika wakati matumizi ni...
  8. FORBES: Samsung yatajwa kuwa 'Mwajiri Bora Duniani'

    Samsung imetajwa kuwa ya kwanza kwenye orodha ya Forbes ya ‘Waajiri Bora Duniani 2022’ kwa mwaka wa tatu mfululizo. Kwa ushirikiano na Statista, Forbes ilifanya utafiti kwa zaidi ya wafanyakazi 150,000 katika makampuni 800 duniani kote, yakiwemo makampuni kutoka Uingereza, Ujerumani, Marekani...
  9. Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
  10. Kampuni ya Mabasi Dar Express inakwama wapi?

    Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja. Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa...
  11. Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

    Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa...
  12. Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

    MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine. "Malipo...
  13. N

    Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
  14. S

    Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  15. (Internal memo) Kampuni ya sola Engie zamani mobisol wanataka watu 20 wa sells

    JOB ADVERTISEMENT To ALL qualified individuals, Please see below, the job advertisement under the Business Department. Job Title: NEO Sales Intern Position: Twenty (20) Job Grade: N/A Reporting to: Regional Business Executive, indirectly to Zonal Business Manager (ZBM)...
  16. (Internal memo) Kampuni ya sola Engie zamani mobisol wanata watu 20 wa sells

    JOB ADVERTISEMENT To ALL qualified individuals, Please see below, the job advertisement under the Business Department. Job Title: NEO Sales Intern Position: Twenty (20) Job Grade: N/A Reporting to: Regional Business Executive, indirectly to Zonal Business Manager (ZBM)...
  17. Tuna uhakika ni kampuni ya UAE kweli?

    Hii nchi tumepigwa sana unaweza kuta kuna dalali hapa kati kapiga mchongo kachukua tenda na hakuna kitu kama UAE hii nchi tumepigwa left right and center
  18. M

    Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  19. Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  20. N

    Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

    Wana Jamii Forums nawasalimu nyote Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji. Hii kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…