kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
  2. Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  3. Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  4. B

    UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  5. 5

    Tahadhari kwa wanaoagiza bidhaa kutoka china:- Kampuni ya mapembelo cargo kwa sasa haiaminiki tena

    Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo. Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
  6. V

    Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

    Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
  7. Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

  8. Mbona siku kampuni za vinywaji hamtuwekei zawadi za chini ya kizibo

    zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa kutuweke ka mchezo cha kusaka bonus..muhindi anatukula kwenye betting ilipaswa kidogo mtufariji kwa...
  9. Hatuwezi kukataa mikopo ya China inayolazimisha kampuni zao zitujengee?

    Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi? Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio contractor mkuu, Sasa hii huwa inakuwa na maana gani ukizingatia pesa zenyewe ni za mkopo lazima...
  10. DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  11. S

    Kampuni ya PEPSI, wamebadili container za sada ya take away?

    Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda. Swali ni je, wamebadili container au kuna fake zimeingia sokoni au ni mimi tu ndio nimehisi kitu kama hiki...
  12. Changamoto ya msimamizi wa kampuni ya mikopo kutokuwa na time management

    Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo Lakini...
  13. M

    Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

    Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
  14. Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  15. Kampuni ya Noble Helium yachagua maeneo matatu ya kwanza ya kuchimba kwenye Mradi wake wa North Rukwa

    Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi. Maeneo haya yaliyochaguliwa ni sehemu ya maeneo 10 ambayo yanaonekana kuwa na potential ya uwepo wa gesi...
  16. Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

    Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
  17. I

    Naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii

    Wakuu habari za muda huu naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii
  18. Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

    Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari. Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans. Deepal G318 Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
  19. Natafuta junior software developers wa backend na frontend na graphic designers tuunde kampuni

    Wakuu, Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila mengi nimejifunza mwenyewe kuanzia programming japo siwezi tengeneza kitu chochote cha maana ila najua...
  20. Naomba Kuelimishwa Hichi Kitu Kwenye Kampuni

    Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria. Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan. Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo 1. Ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…