kali

  1. Slowly

    Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

    Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube ..... Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
  2. Edsger wybe Dijkstra

    Mji wa Mwanza umekuwa na Joto kali sana

    Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa. Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu? Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa...
  3. M

    Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
  4. J

    Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

    Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing. Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
  5. E

    Ramani kali ya nyumba toleo jipya

    Leo nawaletea karamani kapya. Ni ingizo jipya kabisa.
  6. jamii01

    Naomba kuelekezwa namna ya uzalishaji wa pombe kali

    Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie. Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji. 1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake 2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei...
  7. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  8. Analogia Malenga

    Mipira ya kondomu yenye hitilafu yazua hisia kali Zambia

    Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’. ‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC. Unapoweka...
  9. N

    Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

    Goood guuud safi sana kali aiseee
  10. Tripo9

    Chimbo la suti kali Kariakoo jamani. Kwa bei poa, nipendeze na mimi

    Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini. Chimbo gani Kariakoo waungwana?
  11. Millionaire Mindset

    Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  12. Mchochezi

    Homeland Vs The Blacklist ipi kali hapo?

    Wakuu sijawahi kutazama hizo series, na hapa sasa hivi ninazo zote mbili, naombeni ushauri wenu nianze na series ipi?
  13. D

    Njaa ikiwa kali uzalendo unapungua

    Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu. Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Rekodi kali za dunia zilizowekwa na Waafrika. Shikamoo SWESWE

    Sweswe Mungu anakuona ujue
  15. Infantry Soldier

    Ingawa ni wakati mgumu wa hisia kali za majonzi na simanzi, Wamama jitahidini kudhibiti maneno yenu mbele ya waombolezaji

    H.abari za wakati huu kaka na Dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu watanzania hususan akina mama na dada zangu; Wataalam wa saikolojia wanakwambia kwamba binadamu mtu mzima huwa mkweli wa maneno yake anapokuwa katika hali kuu mbili. Kwanza akiwa amelewa pombe, Pili akiwa mwenye...
  16. Sibonike

    Pisi kali - Nini maana yake?

    Pisi kali lina trend sana sasa hivi. Nini hasa maana yake? Mwanamke mzuri? Huenda kila mtu anaelewa kivyake. Ingawa kuna wadada wanajiita na kujisifu kuwa wao ni Pisi kali, kuna wengine wanaona kuwaita Pisi kali ni kuwadharau na kuwadhalilisha Wewe una maoni gani?
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali ya kidini?

    Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote. Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare. Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini? Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu...
  18. F

    IGP Sirro, yule askari aliyefanya udhalilishaji mkubwa wa kijinsia dhidi ya Ester Matiko achukuliwe hatua kali za kisheria na za kijeshi

    IGP, Habari za Mtwara. Nafikiri umeiona Clip inasambaa ya Askari wako akifanya udhalilishaji mkubwa wa kijinsia wakati wa kampeni - ameonekana akimdhalilisha waziwazi kabisa Ester Matiko Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini wakati wa kampeni za uchaguzi Mkuu. Kwa sababu wewe IGP umesema wazi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vita ya Tundu Lissu vs Magufuli na Vita ya Kambona vs Nyerere, ipi Kali?

    Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa...
Back
Top Bottom