kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu hatujapata Fedha za Kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa Serikali Mkoa wa Mwanza, Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu, mimi na watumishi wenzetu walioajiriwa Mwaka 2026 Januari hatujapata fedha za kujikimu mpaka sasa. Tulijaza fomu za malipo mwezi wa 9 na tukaambiwa halmashauri zilishaingiziwa fedha kwa ajili ya kuwalipa...
  2. Idugunde

    Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
  3. Idugunde

    John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  4. Patrice Diounis

    Kazi Kada ya Kuonja Chakula Ikulu

    Hii kazi ni kama ya kizembe ukiiona ila ni moja ya kazi ngumu sana duniani.
  5. A

    KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  6. J

    Kwa waliowahi kufanya Practical Interview za utumishi hususani kada ya Database administration ilikuwaje?

    Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo? Natanguliza shukrani
  7. Idugunde

    Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  8. Ex Spy

    Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  9. V

    Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  10. A

    KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  11. A

    KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  12. A

    KERO Kero kuhusu ufadhili wa masomo kwa watumishi wa afya kupitia mradi wa Beginning Fund mwaka wa fedha 2026/2027

    Kuna barua inayosambaa kutoka Wizara ya Afya ikionesha uwepo wa ufadhili wa masomo kwa watumishi wenye Diploma kupitia mradi wa Beginning Fund kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Cha kusikitisha ni kwamba kwa upande wa wauguzi, ufadhili huo umeelekezwa zaidi kwenye ngazi ya Higher Diploma, ambayo...
  13. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  14. A

    KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
  15. A

    KERO Tarime: Ajira Mpya 2024 (Maafisa kilimo, Idara ya utawala) hatujalipwa fedha za kujikimu mpaka sasa 2026

    AJIRA MPYA 2024 HÀLMASHAURI YA MJI TARIME HATUJALIPWA FEDHA ZA KUJIKIMU.
  16. A

    KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  17. A

    KERO Baraza la NACTEVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing Chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025

    Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025. Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
  18. Keyboard_Warrior

    Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  19. Ibilisi Mjalaana

    Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  20. R

    Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
Back
Top Bottom