kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. bless on

    JamiiForums Pixel za Mtumba: Jua Siri Hizi Kabla Hujanunua

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
  2. C

    JamiiForums Kitengo cha habari Simba wekeni kumbukumbu ya wanasimba wanaotumika kuhujumu timu kabla ya mechi za derby

    1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni. 2. Viongozi wanaoanzisha ***** ***** na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao 3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
  3. Nyendo

    JamiiForums Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  4. Zerock

    JamiiForums TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

    Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu. Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
  7. A

    JamiiForums HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Naiona clear on target kabla ya 2030

    Baada ya kosakosa nyingi, hatimaye Doumbia atalenga shabaha na kufunga goli litakalo wanyanyua wananchi. Hii itatikea kabla ya 2030.
  9. L

    JamiiForums Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  10. Ushimen

    JamiiForums Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Mie nimemjibu kwamba..... Siwezi kurudia kosa tena....😒 Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
  11. generationn Z

    JamiiForums Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  12. Manyanza

    JamiiForums Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  14. J

    JamiiForums Waislamu wanadai Manabii wote kabla ya Mohammad walikuwa Waislamu; Je Nuhu naye pia?!

    Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
  15. The Ghost Scripter

    JamiiForums Kabla muda haujakufanya kuwa kumbukumbu, ifanye leo kuwa kweli...

    Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako. Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha yataendelea kama kawaida. Na hupaswi kuogopa hilo. Kwa sababu ukweli kwamba dunia inaweza kuendelea bila...
  16. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  17. Yoda

    JamiiForums Walioishi kabla ya Yesu na Muhammad wamepotea ?

    Kama hawajapotea na wataenda mbinguni kulikuwa na haja gani ya Yesu Kristo kuja kufa kwa ajili ya dhambi za binadamu na Muhammad kuja na Quran yake ? Maisha si yangeweza kuendelea tu kama kawaida bila wao?!
  18. S

    JamiiForums Kuna Umuhimu wa "Kulidhibiti" Jeshi la Polisi kabla ya kuchelewa

    Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote. Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa. Kuna siku watoto wa Polisi...
  19. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Shahidi Muhimu wa Kesi ya Albert Ojwang Afariki Kabla ya Kusema Alichokuwa Anajua

    Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani. Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Warsame: Tunaongeza nguvu ya ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia (Kilomita 22) kabla ya El Niño

    UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
Back
Top Bottom