Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana.
Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani.
Lakini nikikaa leo na kuangalia nyuma, naona kumbe kipindi kile kilikuwa na mambo mengi ambayo sikuyaelewa.
Mtaa...