Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani?
Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...