kabati

The Central Province (Swahili: Kati, Gikuyu: Gichigo gia Gatagati) was a region in central Kenya until 2013, when Kenya's provinces were replaced by a system of counties. It covered an area of 11,449 km2 (4,420 sq mi) and was located to the north of Nairobi and west of Mount Kenya (see maps). The province had 4,383,743 inhabitants according to the 2009 census. The provincial headquarters was Nyeri.
Central Province was the ancestral home of the Gikuyu people.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Wayahudi walitaka kumpandisha tena Trump kwenye kabati la chakula

    Wayahudi wameendelea kuweweseka kwa kukosa msaada kutoka kwa trump, sasa wameamua kuwadanya na kupika upupu wowote ili wamshawishi bwana wao trump kuwasaidia kwa kuogopa kipigo kingine kutoka kwa Iran Hivi sasa wamekuja na upupu kuwa Iran inataka kumuua trump na ndege zizsizo na rubani. Hii ni...
  2. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
  3. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
  4. dingihimself

    INAUZWA Nauza kabati la vyombo tsh 100,000 vyombo, nipo Dar es salaam

    Nauza kabati la vyombo tsh 100,000 vyombo, nipo Dar es salaam Kwa maelezo zaidi 0657438581
  5. S

    Nauza kabati la biashara la Aluminium kwa bei rahisi

    Inafaa kwa wenye maduka ya vipodozi, dispensary, tigo pesa, m-pesa n.k Bei 170k Contact: 0779037093 WhatsApp: 0654537771
  6. DuaZaMama

    GE2025 Kabati: Rais umetibu ndoa zetu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilolo, Ritta Kabati, amesema utekelezaji wa sera ya Rais Samia Suluhu ya kumtua mama ndoo kichwani, umechangia kuokoa ndoa nyingi, baada ya serikali kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
  7. P

    Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

  8. C

    Nauza kabati la kioo

    Habari wadau nipo Morogoro mjini nauza kabati la kioo, bei laki 3 na 50.
  9. Big Fat Lady

    INAUZWA Seti ya jiko used (jiko, kabati na gesi) Tsh 210,000/=

    SOLD
  10. Big Fat Lady

    Kabati la nguo milango mitatu Tsh 220,000/=

    SOLD
  11. Bujoro

    Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

    Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu mbao ya mninga ulivo imara na bei kubwa ni 6 ×5 ,lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni...
  12. Bujoro

    Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000 /=

    Habari za leo ndugu zangu najua mko poa, naenda kweny dhumuni langu kama kichwa cha uzi kinavojieleza, nauza kabati langu la mninga, nimelinunua lina mwaka mmoja tu ni 6×5 lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni tsh 299,000 /= halina kipengere chochote wala changamoto yoyote ni mali...
  13. RaJhumoR

    Kabati la Vioo la Nguo ama Urembo Linauzwa

    Ebhana watu wa JF nawasalimu kwa Heshima ya Jamhuri ya muungano wa Taifa letu Nina biashara nahitaji kuuza hili kabati langu la vioo, Na nimelipenda sana ila dah kuna madogo wawili wamekuwa position nyumbani sasa ni watundu balaa na mm nahofia watavunja maana wao sasahivi wanashinda room...
Back
Top Bottom