jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  2. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  3. R

    TMA: Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua

    Ndio utabiri wa kila siku 😂😅😀😄
  4. N

    Jua ni kali hadi mchumia juani jua lina mchumu

    Jua ni kali hadi mchumia juani jua lina mchumu. Mdau unapigwa na jua ukiwa wapi 😆😆
  5. Matunzo 02

    Mwanaume jithamini, jua thamani yako, usirudie mwanamke aliyekusaliti

    1. Usirudie mwanamke aliyekusaliti, mapenzi yanahitaji uaminifu. Ikiwa mtu amevunja imani yako, usikimbilie kumpa imani tena kuwa na msimamo na uwezo wa kufanya maamuzi yanayofaa. 2. Usikubali kudharauliwa weka mipaka katika maisha/mahusiano yako. Heshima inapaswa kuwa ya pande zote kamwe...
  6. R

    Leo jua/joto litaua mtu. Hii ni EL JUA/ JOTO

    Tunakufa Mungu tusaidie. Jua kali sana. TMA mnasemaje au ni El Jua
  7. R

    Jua linawaka kiama, twafaaaaaaaaaa

    Nadhani temp itakuwa 50oC! Motooooooooo unawaka
  8. Gunner11

    Kwa hili jua El-Nino yaja kabisa

    Hili jua ni Clear sign kuwa El Nino iko njiani Ila swali wanaoishi bondeni atakuwa na ahuweni? Sisi wa mbagala rangi tatu tu toka salama kweli? Tuzidi kuomba El Nino isiwe kali na niishie pwani isifike Dar. Na watu hata they don't care mitaro michafu kinanuka, mazingira ovyo.
  9. Mad Max

    TANESCO tupeni Excuse ata ya Kuzugia Kwanini mmekata Umeme. Elnino au Jua Kali sana?

    TANESCO poleni na kazi. Rudisheni umeme tafadhali. Dar es Salaam , Mbezi.
  10. R

    Think deep: Walijua for sure, El Nino italeta maafa ya Jua Kali, ambapo huwezi " kupiga hela", wakasingizia Mvua kubwa

    THINK A BIT DEEP: Kwa auto drive mode ambayo TANGANYIKA inapitia, nasema kuna uwezekano mkubwa, " Wapigaji" ie wezi wa hela za umma, walijua kuwa El Nino this time itakuwa JUA KALI. Kwa muktadha huo huwezi KUIBA HELA. Unafanyaje? Unadanganya kuwa El Nino itakuwa ya mvua kubwa na hivyo inahitaji...
  11. R

    Jua linaua kila mmea, halafu TMA wanasema kuna El Nino

    Kuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
  12. Ertugrul Bey

    Ukiona mambo haya kutoka kwa mwenza wako, basi jua kuna uwezekano wa kuchinjwa au kuuwawa... Take care!

    Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wenza kuchinjana na kuuana in the name of love, haya matukio yameanza kushamiri sana kiasi kwamba mpaka tunahisi labda mtoa roho amekuja kivingine this time. Sasa kwa kawaida haya matukio huwa hayaji ghafla tu bin vuu,laa! Huwa kuna viashiria fulani fulani...
  13. T

    Eneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini?

    Eneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini? Wabunifu na wafanyabiashara wa JF tusaifieni
  14. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    Hii ni tahajudi bora sana. Inaweza kukusaidia kupona ugonjwa ambao ujuwi umetoka wapi. TAHADHALI. kama unamwili dhaifu usijaribu maana itakufanya uwe mgonjwa, utapike, udhaifu , kutokujielewa. fanya mazoezi hata ya kukimbia. NJISI YA KUFANYA. 1.Kaa mkao wa yoga, au usimame kuangalia jua (...
  15. 4

    Ushauri :ukiona upo karibu na viongozi wengi then unajisifu upo na connection jua hu mpumbavu

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf. Rejea mada tajwa hapo juu, Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  17. Mshana Jr

    Ndoa ya kiroho kati ya jua na mwezi( patano la uwili)

    Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
  18. Tlaatlaah

    Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Na maskini ya Mungu, na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua hivi au vile, fulani hana hatia na blaablaa nyingine useless, na matokeo yake mwisho wa siku...
  19. bless on

    Pixel za Mtumba: Jua Siri Hizi Kabla Hujanunua

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
Back
Top Bottom