john

  1. funaku

    John Pombe Magufuli alimuibua Deo Ndenjembi hii ni heshima ya kipekee

    Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo. Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa.. Kilichofuatia ni historia
  2. Zack Abdul

    Wanaharakati, kabla ya kudai-ulizeni kwanza! Deogratius John Ndejembi ni kijana wa Dodoma

    WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA. Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi. Jambo dogo kama kutokujua asili...
  3. Mshana Jr

    John Heche moments special thread

    John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
  4. Mmawia

    JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  5. Mmawia

    JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  6. S

    Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  7. lord atkin

    Kwenye hili John Heche na Tundu Lissu wamuunge mkono Wasira

    Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?. Hakuna...
  8. Sir John Deere

    Lala pema Peponi John Pombe Magufuli Leo wamefungua mradi ulioanzisha bila kukutaja kama Icon wa mradi huo.

    Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado tunakukumbuka.
  9. Waterloo

    John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  10. Mohamed Said

    Kwaheri John Iliffe (1939 - 2026) Muokozi wa Historia ya Tanganyika

    https://youtu.be/JUp3UJpK4U8?si=T5QSIKAgYlmQXyT0
  11. Mohamed Said

    Kitabu Cha Maisha ya John Lyimo Mwanasoka Nguli wa Tanganyika Enzi za Gossage Cup

    Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka. Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
  12. Top Gun

    Wazanzibari, kama John Okello angekuwa na jina la kiislam ndio mngemjengea sanamu kumuenzi?

  13. Waufukweni

    John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama” Video: Clouds Media Digital
  14. Troll JF

    Mrema: Mnyika aliuza Account za CHADEMA za mitandao ya kijamii

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
  15. Tlaatlaah

    Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  16. Tlaatlaah

    Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  17. SankaraBoukaka

    Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
  18. Tlaatlaah

    Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

    Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki. Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania. Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
  19. K

    Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza. Nimemsikia Dr Nchimbi...
  20. Troll JF

    WANTED! WANTED! For conducting unauthorised Surveillance to John Heche

    Tanzania Police received information on Unknown Criminals conducting surveillance on CHADEMA Vice Chairman and the investigation is underway kindly if you know Who is this person and why is he following Hon. John Heche? Do you recognize him? If you see him or if you know who he is, please...
Back
Top Bottom