Eisenkot: Nitaunda serikali ya "dharura" ikiwa jitihada za kuunda muungano "mpana" zitashindikana
Maadui wa Netanyahu anzeni kununa Mwamba anakuja kivingine
Mwenyekiti wa chama cha Yashar, Gadi Eisenkot, anaashiria kuwa atachukua hatua ya kuunda serikali ya wachache — serikali ambayo huenda...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemueleza Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi jitihada alizozifanya za kukutana na Wakandarasi, Wahandisi Washauri, Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa TARURA, Wakurugenzi wa...
Na Mwandishi Wetu
Wakati Freeman Mbowe alipokuwa gerezani, Tundu Lissu akiwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA alifanya jitihada za kuhakikisha Mwenyekiti anapata uhuru. Alihutubia Bunge la Ulaya pamoja na kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan katika jitihada za kutafuta maridhiano ya kumuwezesha...
Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa mamlaka husika zina taarifa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa, hali inayohatarisha afya za Wakazi na...
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities?
Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm..
Yaani...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
KANUNI YA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA IMEBUNIWA NA WAYAHUDI NA WANAITUMIA. HIVYO USITEGEMEE IFANYE KAZI KWAKO KAMA HUFANYI JITIHADA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Siwakatishi tamaa wala siwavunji moyo. Nipo hapa kusema Ukweli ili utuweke wote huru.
Kuna msemo maarufu ambao watu...
Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze...
Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄
Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani
Si...
Kwanza kabisa niwakumbushe kuwa ELIMU haifananishwi na haina mbadala. Hata Fedha sio mbadala wa elimu. Unaweza cheza kamari ukapata hela ila hakuna kamari ya kupata elimu. Mtu hadi kuwa profesa wa chuo kikuu kajitoa na kupambana sana. Sio rahisi. Ni safari yenye machungu mengi.
Kama fedha...
Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana.
Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze...
"Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu.
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo, Septemba 6, 2025, ambapo Kiongozi wa Wodi 4B, Bi. Sada...
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi.
"Wapumzike kwa amani...
Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana.
Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao...
Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo.
Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya
Juliana...
Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo .
Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari anayohaki ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyoko chini ya Mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.