Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari yake ya ajabu ya kupaa hadi mbinguni safari ambayo haikuwahi kusimuliwa na mwanadamu mwingine kabla...