jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuset ussd code zifanye kazi

    Habari za muda huu wakuu , Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

    Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu. 1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi. Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi yakupata Bilioni kwa haraka Tanzania

    Unajua kama ukianza kusave milion moja kila mwezi maisha yako yote yaliyobaki hutapata bilion? Chatgpt ameshauri hivi Kupata bilioni moja au zaidi kwa haraka nchini Tanzania si rahisi, lakini inawezekana kwa mbinu sahihi, bidii, na maamuzi ya busara. Hapa kuna mikakati halisi ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya matangazo ya facebook na instagram yafanye vizuri (2025 guide)

    Katika ulimwengu wa kidijitali, biashara nyingi Tanzania zinaanza kuelewa nguvu ya matangazo ya Facebook na Instagram. Lakini si matangazo yote yanayoleta matokeo. Ili matangazo yako yafanye kazi — yaweze kuuza, kuingiza leads, au kukuza brand yako — lazima uyatengeneze kwa ustadi. Leo...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyomfahamu Dkt. Rhimo Nyansaho

    Habari wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Sitaweza kuelezea kwa kina utendaji wake kwa vile Mwenyezimungu bado hajanibariki nafasi hiyo, lakini Nyansaho alikuwa anaogopeka, yaani ni mtu wa kazi kwelikweli. Nilimfahamu Dr Rhimo Nyansaho mwaka 2020 nilipopata nafasi ya kujitolea na...
  9. JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania ni wajinga,angalia jinsi wanavyomjibu Gwajima

    Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025

    Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025 Wafanyabiashara wengi wanafocus kupata wateja wapya tu... Lakini siri ya kukuza biashara ni hii hapa 👇 Kuwa karibu na wateja uliopata tayari. Kitendo cha kupata mteja ni gharama sana, Hizi hapa ni mbinu ninazotumia kila siku kuwafanya wateja...
  12. JamiiForums Tanzania Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi maneno potoshi juu ya Israel yanavyojibiwa kwa usahihi!!

    Kama raia wa Kiarabu wa nchi, sina budi kutetea sura ya Taifa la Israeli dhidi ya kauli za kipuuzi, za uongo na za uchochezi dhidi ya Serikali zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali... Ajabu sana kuona viongozi kama hao wanajitoa ufahamu kiasi hicho!!!
  16. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa ya Aina Yoyote Mtandaoni (Mwongozo wa 2025)

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

    Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi, Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza. Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi waliosombwa kwa ajili ya CHAUMMA wanavyotaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40 zao

    Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani. Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…