jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha. Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia BY Chat GPT

    Jinsi Wasomi Wanavyochangia Tanzania Isiyo ya Kidemokrasia Katika jamii nyingi, wasomi hutegemewa kuwa mstari wa mbele katika kuendeleza demokrasia, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali. Hata hivyo, hali ya mambo nchini Tanzania inaonyesha kuwa sehemu ya wasomi wanachangia kudidimiza...
  4. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Mu hali gani wakuu... Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kuibaiba miaka kadhaa nyuma ambae muda huohuo alikuwa ni shemeji pia sababu ya urafiki wake na mwanamke wangu wa kipindi hicho. (Around 2015-2020) Mahusiano yenyewe yaliibuka kwakuwa mpenzi wangu halisi alipata...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyotabiri Kwa usahihi hiki kinachotokea sasa!

    Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea! Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania. Msikilize. 👇 Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyorudisha nyuma Ujasusi wa Marekani kwa miongo mingi nyuma baada ya mapinduzi ya 1979

    Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

    Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuku Chotara🐔 Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe💰? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    ❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  15. JamiiForums Tanzania 🧠 JINSI YA KUANDIKA LANDING PAGE INAYOUZA (Step-by-Step)

    Landing page ni sehemu ya kwanza mteja anakutana nayo — kama mlango wa duka lako. Ukiwa boring au usioeleweka, hataingia ndani. Hii hapa ni formula ya kuandika landing page kali, inayo-convert kwa kutumia psychology ya mteja wa kibongo au wa mtandaoni: 1. HEADLINE YENYE KUKAMATA AKILI Hii ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

    Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online

    Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa. Matapeli wanazidi kuwa wabunifu na wanatumia njia mbalimbali kama WhatsApp, Instagram, Facebook, na hata websites feki ili kuwaibia...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hadhi ya Tanzania ilivyo, bado hatujafika mstari wa kushitakiana kwa kesi za "UHAINI", yaani "TREASON"

    Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo! Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…