jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu. Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%. Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
  2. JamiiForums Tanzania WENGI WANAINGIA KWENYE BIASHARA YA AGRIBUSINESS WAKIAMINI KILIMO KINA PESA, LAKINI WACHACHE NDIYO WANAOJUA JINSI YA KUZIPATA.

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  3. JamiiForums Tanzania Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization. Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Umri mkubwa (uzee)na jinsi ya kujitunza.

    Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum. Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa. Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare...
  5. JamiiForums Tanzania FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦

    FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦 Je, umesomea Chemistry, Industrial Chemistry, Applied Chemistry, Petroleum Chemistry, Analytical Chemistry au taaluma nyingine inayohusiana na Chemistry? Je, ungependa kupata utambuzi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Thucydides: Jinsi Tanzania na Majirani Zetu Tunavyonaswa Kwenye Vita ya Marekani na Uchina

    Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina Wakuu, salamu! Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na majina ya wanasiasa hapa Tanzania. Badala destiny yetu tusogeze darubini mbele zaidi na tuangalie siasa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Dar Es Salaam inavyoleta Huzuni Moyoni mwangu

    Habari wana jf, Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu Kwasababu hizi chache 1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Makosa 7 ya kawaida kwenye CCTV na PoE Switch – na Jinsi ya kuyaepuka

    Habari wana JF, Nimekuwa nikifanya kazi na mafundi na wakandarasi wa CCTV na network kwa muda, na nimeona makosa yale yale yakijirudia kwenye site nyingi. Hapa nimekusanya 7 ya kawaida zaidi na jinsi ya kuyaepuka. Yatakusaidia kuokoa pesa na kuepuka malalamiko ya mteja. 1. KUTOPIGA HESABU YA...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Vivuli vya Mpakani: Mkasa wa Marubani, Usaliti wa NATO, na Jinsi Matukio ya 2015 Yanavyosahaulika Kwenye Siasa za Kisasa.

    Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kununua Blenda Halisi, Epuka Feki

    Kwenye soko la Tanzania lililofurika bidhaa feki na za kughushi, muonekano wa nje na stika za wattage kubwa ni mtego wa kisaikolojia wa kukusanya fedha zako. Wafanyabiashara na viwanda vya bei nafuu hubandika stika za uongo zenye maandishi kama "10,000W" au "Commercial Heavy Duty" kwenye...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ujue mfumo wa points za udereva (Drivers Licence Point System)

    Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunufaika na AI kiuchumi

    habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili jina JF

    Wakulungwa hivi ukitaka kubadili jina JF unabadili wap? Nipeni muongozo nataka niweke jina la kibiashara ili iwe rahisi kupata wateja humu JF.
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania I Wish Ningekuwa Wakili wa Sandaland: Jinsi ya Kumwanika Makonda Kwenye Sakata la NIKE, Utajiri Wake na Utata wa Jina la Bashite

    Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…