Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh.
Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimetembelea ambako nimekutana na hii stori, nikaona ni vyema niielete hapa tuijadili kwa pamoja. N.B Mimi si mwandishi wa habari hii.
Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni...
Nyege kwa mwanamke huwa inakuwa juu sanaa wiki mbili baada ya kutoka mwezini yaani homoni ya ESTROGEN inakuwa iko juu sanaa hadi pale siku za hatari zitakapoishaa sasa huu ni muda wa kunyanduana mpaka basi, kwani mihemo ya mwili wa mwanamke inakuwa iko juu sanaa kupelekea kuwa na hali moja na...
:):):):):):):)
Funny Facts!
Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10,
thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo
Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na sio speculation mara nyingi wanatoboa sana,sababu eventually price ya hisa mara nyingi itakuja kuwa...
Guys,
Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia,
Hadi leo sijapata message ya kupata cheti,
Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti,
Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio.
Help me out.
Thanks
Wadamu mnaomiliki mikoko hii ni muhimu.
Wiki iliyopita nilipita zangu kariakoo nikatafuta maegesho weee nikakosa mitaa yote ya shimoni. kwa bahati nikabahatisha private paking moja hivi nikawasha hazadi nikaegesha nikaingia dukani chini ya dakika tano nikawanimeshalipia ninachotaka nikapata na...
Moja ya tafiti ambazo zimefanywa na baadhi ya watu waliofanikiwa duniani iligundua kuwa watu wengi sana duniani wanashindwa kufikia MALENGO na NDOTO walizonazo kwa sababu zifuatazo;-
1: Watu wengi uweka MALENGO ambayo hayajausanishwa na kile wanachokifanya kila siku inaweza kuwa biashara na...
Habari wadau.. simu yangu display inazima zima na inachelewa sana kurudi kwenye hali yake ya kawaida yaani kuwaka tena.Sasa nimeamua kuweka screen timeout ya mwisho kabisa kwenye simu yangu ambayo ni 30 dk ili isizimezime.
Sasa nataka kujua kama kuna jinsi ya kuongeza screen timeout zaidi ya...
TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua.
KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla watu wanazungumzia juu ya fursa za ajira na 'baibai kwa umasikini' kwa vijana. Ila hakuna...
Habari wadau!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.
Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers).
Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara yako. Mteja huyu ni wa muhimu sana na anatakiwa kumpa kipaumbele katika biashara yako. Utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.